Nani kawaambia wameibiwa? Mawakala??!!
Kama wana ushahidi washtaki! kama hawana basi watulie
Cord waitaka Tume ya uchaguzi kurudia kuhesabu kura kwa Mtandao Digitally na kuacha kuhesabu manually du hii kali sijui kama kura zitaisha kuhesabiwa
Kenyatta: 2, 791, 325
Odinga: 2, 023,470
Sasa linatafutwa gap la laki 8, chezea mtoto wa Jomo weye..
Walichokifanya ni sawa na kukataa kutumia sahani ya udongo ukataka ya plastiki wakati chakula ni kile kile.hapa kweli kazi ipo. Walikataa gap la digital la laki 4 sasa wanakumbana na la analojia la laki 8!
hapa kweli kazi ipo. Walikataa gap la digital la laki 4 sasa wanakumbana na la analojia la laki 8!
Cord waitaka Tume ya uchaguzi kurudia kuhesabu kura kwa Mtandao Digitally na kuacha kuhesabu manually du hii kali sijui kama kura zitaisha kuhesabiwa
Na hapo kura za Nyanza province ambalo ndo tegemeo la CORD zimeshajumlishwa.Kenyatta: 2, 791, 325
Odinga: 2, 023,470
Sasa linatafutwa gap la laki 8, chezea mtoto wa Jomo weye..
Jembe UHURU lazima ashinde
Sasa uhuru ana ujembe gn na wewe?
Kenyatta: 2, 791, 325
Odinga: 2, 023,470
Sasa linatafutwa gap la laki 8, chezea mtoto wa Jomo weye..