March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

BUREKINGI NIUZII:

KODI wametoa madai mapya, wanataka badala ya mfumo huu wa kura, badala yake irushwe shilingi....tehe tehe tehe....
Ila Kenya wabishi kinoma, yaani mpaka wanaelekea kufanikiwa kujitengenezea LIPUMBA wao.
Yaani wanaona sisi tunafaudu kweli kweli...
 
Nani kawaambia wameibiwa? Mawakala??!!
Kama wana ushahidi washtaki! kama hawana basi watulie

Hawa nia yao ni kuleta fujo tu basi. Ndio maana baadhi ya watu tangia siku ya uchaguzi hawaendi kazini wala hawatoki ndani. Katikati ya mji ni kweupe, maduka na ofisi bado vimefungwa, hakuna mwenye uhakika na kitu gani kitatokea baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa rasmi. Barabara nyeupe hakuna foleni wala nini.

Tiba
 
15:10 Nairobi County Senate race: Gideon Mbuvi (753,270), Bishop Wanjiru (508,434), Livondo (18,474). Dagoretti South constituency results yet to be filed.

Naona kamanda Mike Sonko ameshinda
 
Cord waitaka Tume ya uchaguzi kurudia kuhesabu kura kwa Mtandao Digitally na kuacha kuhesabu manually du hii kali sijui kama kura zitaisha kuhesabiwa
 
Nasema hivi, lakini Mungu aepushie mbali. Kwa mwendo huu nahisi kabisa Mungiki wanapiga jaramba huko. Na ile kampeni kubwa kabisa ya amani iliyofanywa sina hakika kama wanaikumbuka muda huu.
 
Kenyatta: 2, 791, 325

Odinga: 2, 023,470


Sasa linatafutwa gap la laki 8, chezea mtoto wa Jomo weye..
 
n kweli, sasa wanaweweseka mwanzo walisema computer imewekwa gap ya kura mia5
 
Cord waitaka Tume ya uchaguzi kurudia kuhesabu kura kwa Mtandao Digitally na kuacha kuhesabu manually du hii kali sijui kama kura zitaisha kuhesabiwa


Unahitaji kushukiwa na roho mtatifu kujua nini hasa wanachotaka hawa watu wa CORD maana kila utetezi wao unawaangusha.
 
Kenyatta: 2, 791, 325

Odinga: 2, 023,470


Sasa linatafutwa gap la laki 8, chezea mtoto wa Jomo weye..
Na hapo kura za Nyanza province ambalo ndo tegemeo la CORD zimeshajumlishwa.
 
Kuna thread ilisema kuwa watu wawili wa safaricom wameshikiliwa kwa kuingilia au kuyafanyia usanifu matokeo hayo. Je ni kweli?
 
Mie tomaso mpaka mwisho watakapo tangaza lile jimbo la 291.. ..bado naamini itafika 48% uhuru kwa 46% ODINGA... Then round ya pili.. Then second .. Halafu kitu cha... Odinga ikulu... Daaah
.......faraja nakuita faraja uko wapi faraja.. X2
 
Kenyatta: 2, 791, 325

Odinga: 2, 023,470


Sasa linatafutwa gap la laki 8, chezea mtoto wa Jomo weye..

Kipindi kile cha Kibaki - Odinga, ndicho kilikuwa kipindi chake cha kuwa rais. Lakini kwa uroho wake wa madaraka, akakubali kugawa madaraka kama alivyofanya Seif wa CUF. Sasa hivi ahesabu maumivu tu...
 
Back
Top Bottom