March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kipindi kile cha Kibaki - Odinga, ndicho kilikuwa kipindi chake cha kuwa rais. Lakini kwa uroho wake wa madaraka, akakubali kugawa madaraka kama alivyofanya Seif wa CUF. Sasa hivi ahesabu maumivu tu...

ewaaa, yani umeongea kiume, ilifaa amwache kibaki agombee nafasi iyo na yeye amsapoti ili ifikapo sasa kibaki amsapoti yeye ndio wakikuyu wagawanyike, sasa yeye na engineering yake ya urusi mambo ya tauni hawezi.
 
17:29 Matokeo ya mwanzo mwanzo ya kura za urais yaliyotolewa sasa hivi kutoka kwa tume ya uchaguzi yanaonyesha kuwa Raila Odinga ana kura 2,133,202 wakati Uhuru Kenyatta ana kura 2, 718,021
17:05 Kwa sasa Raila Odinga ana kura 2, 107, 670 wakati Uhuru Kenyatta akiwa na kura 2,697,056
17:02 Vigogo wa Muungano wa CORD wake Raila Odinga wamesema kuwa licha ya matokeo kuonyesha bado wako nyuma, wafuasi wao wasiwe na wasiwasi kwani kura nyingi zingali kuhesabiwa. Mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka amewaambia wapiga kura kupitia televisheni kuwa wawe watulivu wasubiri matokeo kutoka kwa tume ya uchaguzi
15:00 Matokeo kufikia sasa ni kwamba Uhuru Kenyatta amepata kura 2,606,617 wakati Raila odinga ana kura 2,011,869

14:31 Hadi kufikia sasa kulingana na matokeo yanayotolewa na Tume huru ya uchaguzi Kenya ni kuwa Uhuru Kenyatta amepata kura 2,534 019 wakati Raila Odinga akiwa na kura 1,939,549. Haya ni matokeo ya mapema tu
13:05 Abdulkarim Taraja akiwa Mt Elgon, anasema kwenye Bofya facebook kuwa anafurahi ambavyo wanaoshindwa wanakubali matokeo ya kura katika eneo hilo
12:59 Blessed Kuriah anasema kwenye ukurasa wa Bofya facebook, Bofya bbcswahili, kuwa hali ni tulivu katika eneo bunge la Gatundu Mkoa wa Kati
12:57 Uhuru Kenyatta 2,484,760 Raila Odinga 1,884,152

12:46 Mwandishi wetu Jamuhuri Mwavyombo akiwa mjini Mombasa anasema mji umetulia, maduka mengi yangali yamefungwa watu wakiwa na wasiwasi kuangalia hali itakavyokuwa
12:37 Uhuru Kenyatta 2,459,133 Raila Odinga 1,851, 671

12:24 Idadi ya kura kwa wagombea wakuu wa urais Uhuru Kenyatta 2,429,895 Raila Odinga 1,823,384

source:BBC SWAHILI WEBSITE.
 
Sijaona gap linalopungua hapo,gap likifikia chini ya laki 4 kweli ntaamini.Hii tofauti hata jana ilikuwa hivihivi
 
nitamdharau milele. Mimi ni mmoja wa wafuasi wake. Naamini atabaki na heshima akikubali kushindwa


Asiyekubali kushindwa si mshindani
kama kaibiwa athibitishe......
yamebaki maeneo mangapi?
 
Na kitaeleweka tu kama ushindi ni wa halali hakuna shida, vinginevyo itakuwa shida sana
 
ewaaa, yani umeongea kiume,
ilifaa amwache kibaki agombee nafasi iyo na yeye amsapoti ili ifikapo
sasa kibaki amsapoti yeye ndio wakikuyu wagawanyike, sasa yeye na
engineering yake ya urusi mambo ya tauni hawezi.



Kipindi kile Raila alinikera sana kwa kukubali "serikali ya mseto", ule ulikuwa uhuni kabisa, alitakiwa akomae either uchaguzi urudie au akae bench, then kipindi hiki agombee, angekuwa na enough political power, pia inampasa atambue kuwa watu walikufa kwa kumtetea yeye, kwa hiyo angeonyesha concern.... Matokeo yake kesi ya mauaji anam-bambikizia Kenyatta, baada ya yeye na kibaki ndo waende the Huege.. Raila ni mpuuzii
 
Naona ICC baada ya kuona Uhuru anaongoza wameamua kuahirisha kesi hadi July.
 
Kumbuka anapunguza gap na pia tunaelekea mwishoni kwenye zoezi la kuheabu hizo kura...

hajapunguza gap....hapo ni kuwa mwendo umepunguzwa ili tuta livukwe salama...lakini falsafa ya mwendo 260 Kpm.
Subiri uone za uhuru zikitumbukia hapo uone gap.
 
Kipindi kile Raila alinikera sana kwa kukubali "serikali ya mseto", ule ulikuwa uhuni kabisa, alitakiwa akomae either uchaguzi urudie au akae bench, then kipindi hiki agombee, angekuwa na enough political power, pia inampasa atambue kuwa watu walikufa kwa kumtetea yeye, kwa hiyo angeonyesha concern.... Matokeo yake kesi ya mauaji anam-bambikizia Kenyatta, baada ya yeye na kibaki ndo waende the Huege.. Raila ni mpuuzii
VITA ISIKIE KWA JIRANI RAFIKI YANGU. That time was a great time of Chaos and limbo, watu walichinjana na wengine kufyekwa magovi bila ridhaa..unafanya mchezo nini.!! Mlaumu TINGA lakini aliepusha balaa zaidi. Heri nusu shari,kuliko shari kamili.
Ningekuona wa maana kugeukia upande wa pili wa KIKUYU, ambao wanaamini ni wao "PEKEE" wenye hati miliki ya kutawala kenya...
 
ni kwel baadhi ya watu ambao ni wataalamu wa mambo ya IY wamesadikiwa kuchakachua matokeo
 
ewaaa, yani umeongea kiume, ilifaa amwache kibaki agombee nafasi iyo na yeye amsapoti ili ifikapo sasa kibaki amsapoti yeye ndio wakikuyu wagawanyike, sasa yeye na engineering yake ya urusi mambo ya tauni hawezi.

....he thought that, it was then or never. Akaoni heri aambulie manyoya.
 
VITA ISIKIE KWA
JIRANI RAFIKI YANGU. That time was a great time of Chaos and limbo, watu
walichinjana na wengine kufyekwa magovi bila ridhaa..unafanya mchezo
nini.!! Mlaumu TINGA lakini aliepusha balaa zaidi. Heri nusu
shari,kuliko shari kamili.
Ningekuona wa maana kugeukia upande wa pili wa KIKUYU, ambao wanaamini
ni wao "PEKEE" wenye hati miliki ya kutawala kenya...



Una maana ni bora alivyoukubali au kuuchukua huo uwaziri mkuu, kwa maana urais hawazi pata, kisa ni Luo? Then, kwa nini anagombea sasa wakati akijua urais ni wa-Kikuyu?
Huyu jamaa ni mnafiki sana, that time aliuza utu wake ndio maana this time inakula kwake. Resonable persons hawakutegea kama angekubali huo uwaziri wa kupewa, hili ni tatizo kubwa kwa viongozi wa Africa wenje uchu wa madaraka kama Raila. Sasa huu urais ataukosa, then tumuone alete vurugu zake za kipumbavu...
 
Back
Top Bottom