March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Walikuwa wanataka Raila ashindwe,hivyo walitumia mbinu nyingi kuiba. Wanalindana kama CCM bwana. Si unajua mtoto wa Knyatta alikuwa rafiki wa Moi na Kibaki,hivyo alikuwa ameandaliwa kulinda mzigo wa wazee wao.
 
M natabiri kuanzia ksho lazma Kenya kiwake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa gap Uhuru Kenyatta alilokuwa amempiga Raila odinga la kura million 2 sasa limepungua na kuwa laki mbili sasa naona mitambo ilikuwa inaiba kura au analogia ndo imepiga jeki??Paka asubuhi raila kashinda sasa sijui huko kitaeleweka au??

mkuu ilkua laki 6, ikapanda 8 sasa 2 sio milion
 
Mbona kwenye the Daily Nation Uhuru anaongoza kwa kura laki sita. Hizi kura zilizoandikwa hapa source yake ni ipi?
rudi tena karefresh hiyo link ya daily nation utaona gap limebaki kama laki2 na ushei nasikia ocampo na yule mama wanaanza kushangilia huko the hugue
 

Raila Amolo Jaramogi Oginga Odinga...! I liked his father and I do like him as well, kiukweli akishindwa nitasikitika sana.
 
Ila twende mbele turudi nyuma.wakikuyu ni mafias jamani.mi nilishangaa sana ile gap ilivyo kuwa kubwa.inamaana wakenya wanampenda sana kenyatta mpaka awazidi wenzake kwa kura zote hizo? Hii imenikumbusha ya ccm na cdm 2010.
 
Kura za Uhuru kutoka kwenye ngome yake zimeshahesabiwa? Abitichaz na wengine wanaojua siasa za Kenya watubrekie down nini kinachoendelea.
 
11:30pm Update Uhuru - TNA 3,502,127: 48.7%
Raila - ODM 3,300,391: 46.03%3

Kwenye category ya wapigakura wa Diaspora wangeruhusiwa raia wa EA wote wenye >18yrs. Yaani Raila Odinga ameupa hamasa kubwa sana uchaguzi huu utadhani ni wa Afrika Mashariki nzima. Ninapata picha kuwa kwenye uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la EA iwapo Raila akigombea na wapiga kura ni wananchi basi mpinzani wake pekee ni Kagame tu!

Hizi kura hata wangeruhusu UG na TZ tu kushiriki na wakenya Rao tayari angekuwa whitehouse kwa kishindo cha tsunami.
 

Mkuu,
Kwa EA hata iweje Kagame hana mpinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…