Sisi watu wa Jubilee inabidi tuanze kuwa wapole, maana naona Raila na CORD yake wanakuja kwa kasi ya ajabu.
Mimi ngoja niwaachie ntajua asubuhi!
Kwa gap Uhuru Kenyatta alilokuwa amempiga Raila odinga la kura million 2 sasa limepungua na kuwa laki mbili sasa naona mitambo ilikuwa inaiba kura au analogia ndo imepiga jeki??Paka asubuhi raila kashinda sasa sijui huko kitaeleweka au??
Mbona kuna watu wanaanza ku edit wengine ku-delete comments zao?
Kulikoni?
wametumia mda mrefu hadi inaleta utata ukizingatia na mazingaombwe ya kufeli kwa system zao.Mkuu na hii ndio asubuhi, Uhuru 4,333,401 Raila 3,844,589 Tofauti 488,812
CITIZEN: 06:35
Hii ngoma Raila anachukua
Una maana ni bora alivyoukubali au kuuchukua huo uwaziri mkuu, kwa maana urais hawazi pata, kisa ni Luo? Then, kwa nini anagombea sasa wakati akijua urais ni wa-Kikuyu?
Huyu jamaa ni mnafiki sana, that time aliuza utu wake ndio maana this time inakula kwake. Resonable persons hawakutegea kama angekubali huo uwaziri wa kupewa, hili ni tatizo kubwa kwa viongozi wa Africa wenje uchu wa madaraka kama Raila. Sasa huu urais ataukosa, then tumuone alete vurugu zake za kipumbavu...
ni busara kutulia, lakini isiwe kwasababu ya kasi yao.
Usikate tamaa kabisa, subiri uone gap ya zaidi ya kura laki saba inavyokuja sasa.
Usidhani CORD zile kelele na malalamiko watoayo ni kwasababu ya kura hizi, ukweli wameshaujua ndiyo maana wanalialia kutafuta face saving reasons.