Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Mpaka sasa hali halisi ya Uchaguzi wa Kenya iko hivi kwa upande wa Rais.
Naona Uhuru ameendelea kuwa kileleni pia kwa hali ilivyo hasa ukizingatia leo ndiyo Tume yategemea kutangaza Matokeo ya Jumla.
Ila tusubiri tuone sehemu zilizobaki hali itakuwaje kama kutakuwa na mabadiliko yoyoye.
Source Citizen Tv wako live.
Kila matokeo yanapopatikana wanatuwekea ila nadhani tusubiri mpaka mwisho kama kuna lolote jipya au Raila ikiwa kama atapunguza idadi ya kura alizoachwa na Uhuru.