Gold Digger
Member
- May 21, 2009
- 86
- 8
infact habari za ndan inasemekanj alishindwa kwa kura chache sana
ni busara kutulia, lakini isiwe kwasababu ya kasi yao.
Usikate tamaa kabisa, subiri uone gap ya zaidi ya kura laki saba inavyokuja sasa.
Usidhani CORD zile kelele na malalamiko watoayo ni kwasababu ya kura hizi, ukweli wameshaujua ndiyo maana wanalialia kutafuta face saving reasons.
Bora uhuru ashinde vinginevyo wakikuyu lazima watalianzisha tena!! Mungu wabariki wakenya!!
OFFICIAL: 201/291 Constituencies; Uhuru 4,456,706 Raila 3,942,319 Rejected 85,503 Total votes cast 8,962,769.
Sasa ndio mchuano unaanza.....!! yakibaki 40 tutajua uzuriiiiiiiiiiiiiiiiiii
mimi naona kama biashara imekwisha..ukiangalia kula zilizo baki siamini kama raila ataliziba hilo gap la laki tano..
mimi naona kama biashara
imekwisha..ukiangalia kula zilizo baki siamini kama raila ataliziba hilo
gap la laki tano..
IT ya katibu vs IT ya Raila ni cyber war inaendelea, watakaoumia ni waKenya!Kwa gap Uhuru Kenyatta alilokuwa amempiga Raila odinga la kura million 2 sasa limepungua na kuwa laki mbili sasa naona mitambo ilikuwa inaiba kura au analogia ndo imepiga jeki??Paka asubuhi raila kashinda sasa sijui huko kitaeleweka au??