March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Gap la laki 5 sasa..


Mtoto wa Jomo Kenyattaa: 4, 456, 706


Mtoto wa Jaramogi Iginga Odinga: 3, 942, 319
 
infact habari za ndan inasemekanj alishindwa kwa kura chache sana

Even this time it seems atashindwa kwa "kura chache sana", sasa sijua ameshaandaa wale militia wake kwa ajiri ya kulianzisha, kwa maana huyu mtu anautaka urais utafikiri wakati anatoka tumboni mwa mama wake aliambiwa "LAZIMA UWE RAIS"....
 
OFFICIAL: 201/291 Constituencies; Uhuru 4,456,706 Raila 3,942,319 Rejected 85,503 Total votes cast 8,962,769.
 
ni busara kutulia, lakini isiwe kwasababu ya kasi yao.
Usikate tamaa kabisa, subiri uone gap ya zaidi ya kura laki saba inavyokuja sasa.
Usidhani CORD zile kelele na malalamiko watoayo ni kwasababu ya kura hizi, ukweli wameshaujua ndiyo maana wanalialia kutafuta face saving reasons.

Kweli mkuu nimeona, hadi sasa gap ni zaidi ya laki 5.
 
OFFICIAL: 201/291 Constituencies; Uhuru 4,456,706 Raila 3,942,319 Rejected 85,503 Total votes cast 8,962,769.


Sasa ndio mchuano unaanza.....!! yakibaki 40 tutajua uzuriiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
BEzlrwaCEAAx44m.jpg:large
 
Wakuu ndiyo kumekucha asubuhi hii na ubao wa kura uko kama hapo juu ulivyo.

Nadhani huenda hali ikawa kama inavyoonekana hapo.


Source Citizen tv
 
hii thread huwa inapotea sana ni muhumi kutupatia update,sisi watz tupo pamoja nanyi ila reflection ya nani mshindi inaonekana,
 
Hiyo gap ya kura zaidi ya 400,000 haipungui...Uhuru got this, Raila alie tu!
 
Baba yake Raila naye enzi za baba yake Kenyatta alitaka uraisi mpka akaishi makamu wa Raisi na akajifia baba wa watu akisota kuwa Raisi wa Kenya ,sasa mwanae amesota akikosa sasa basi uraisi utakuwa historia kwake
 
Sasa ndio mchuano unaanza.....!! yakibaki 40 tutajua uzuriiiiiiiiiiiiiiiiiii

mimi naona kama biashara imekwisha..ukiangalia kula zilizo baki siamini kama raila ataliziba hilo gap la laki tano..
 
dooh jana ilikuwa majimbo 134/291 na hapo uhuru alikuwa na 3,152,... na Raila 2,568,... kumbe hali ishabadilika.

Mungu walinde wakwe na mashemeji zangu hao!!!:tape2:
 
mimi naona kama biashara
imekwisha..ukiangalia kula zilizo baki siamini kama raila ataliziba hilo
gap la laki tano..

Gap HALIWEZI KUZIBIKA, kwa maana Raila akipiga hatua 1, kenyata anapiga 1.2 sasa hapo gap linazibika vipi? Labda atumie kura za MARUHANI...
 
Kwa gap Uhuru Kenyatta alilokuwa amempiga Raila odinga la kura million 2 sasa limepungua na kuwa laki mbili sasa naona mitambo ilikuwa inaiba kura au analogia ndo imepiga jeki??Paka asubuhi raila kashinda sasa sijui huko kitaeleweka au??
IT ya katibu vs IT ya Raila ni cyber war inaendelea, watakaoumia ni waKenya!
 
Back
Top Bottom