Raila anaogelea kwenye kina kirefu!
Hapo kwenye blue umekosea.
Inatakiwa 50%+ 1 VOTE to be president, kwanza hiyo 50.99% ni nyingi sana
just 50.01% is enough! Uhuru is the next president, game over!
Usiangalie gap la kura, angalia gap la %age ndo litakaloamua ndugu! Inatakiwa iwe 51% or above na sio 50.99% or below,upo hapo? Sasa chukua hiyo 600,000 ambayo ndiyo difference uone ni % ngapi ya total vote casted? Do you get what am trying to enlight you? 2nd round is unavoidable man!
ni 50% + 1vote hii sio sawa na 51% cheki vizuri kumbukumbu zako
Uhuru 4721604 Raila 4127377 gap hapa ni 694227 kazi bado ipo wakuu
bonesya amahala gako nungwe asee..!
How will you earn vote percentages without having earn the votes.
Those votes earned are the gateway to the percentages needed, ambazo pia zimeshapatikana.
mkuu hilo gap si 694227 ni 594227 nimesahihishaMkuu kazi ipo wapi hapo? Unaambiwa wapiga kura ni kama 14mill na waliopiga kura ni kama 70%. Naona kama kazi imekaribia kwisha hapo
Mkuu kazi ipo wapi hapo? Unaambiwa wapiga kura ni kama 14mill na waliopiga kura ni kama 70%. Naona kama kazi imekaribia kwisha hapo
Ugwe kalumyana ugwe! UGWE!!!
Dig deep to understand me,ngamu jangu jo Gwamahala nkamu!
Chukua hilo gap la 600,000 weka kwenye total votes casted, say 10,000,000 angalia ni % ngapi alafu add that to the existing %age ya mhusika ndo utaelewa kuwa joune Gwamahala!
Kama matokeo yangebaki yalivyo mpaka sasa hivi (Kwa Uhuru kupata kura 4,769,769) dhidi ya kura zote zilizohesabiwa mpaka sasa (9,495,851), basi Uhuru angekuwa mshindi kwa kupata asilimia 50.2%. No second round.
Tiba
Mkuu Ritz kweli hawa jamaa zetu wa Bondo, Kalachuonyo na ndugu zao wakisii wa Nyamira, Nyaribari Chache, Kitutu Masaba, nk naona wamekata tamaa. Uchaguzi kweli si mchezo, mke wa Odinga alishaenda Marekani kununua nguo za kama first lady in the waiting akijua kwamba lile jumba la pale Kilimani ni la kwake. sasa mambo yanageuka. Jamani tusikoke mioto kabla ya kumkamata swala!