March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

09:05am:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,769,769
Raila Odinga - ODM: 4,132,062

Total Vote cast - 9,495,851

216 out of 291 Constituencies results


 
Mkuu Kimbunga,

Vipi kule Nyanyuki-Nyeri kwa wazee wa Chang'aa hali ikoje?

Historia inamuhukumu Jaluo wakati Wakikuyu wanapambana na Wakoloni Jaluo analeta upambe kwa Mkoloni.

Bado zamu yetu kumfulusha mkoloni kupe mweusi anae tawala miaka 50 sasa ya uhuru
 
Mkuu kazi ipo wapi hapo? Unaambiwa wapiga kura ni kama 14mill na waliopiga kura ni kama 70%. Naona kama kazi imekaribia kwisha hapo


hapo bado kama kura milioni moja hesabu lifungwe rasmi tuseme kwenye hizo kura 60% Uhuru 40% Raila ongezea kwenye hizo kura zao uone itakavyokuwa
 
Siasa mchezo mchafu kama una kazi ya kufanya usijiingeza kwenye hiyo sarakasi.
2002 Raila Odinga wakati huo akiwa katibu mkuu wa KANU, alimgeuka mkuu wa Raisi Moi na kupinga chaguo la mrithi wa Moi kwa wakati ule Uhuru Kenyata.

2007 Uhuru Kenya aliungana na mpinzani wake wa mwaka 2002 kumpinga Raila Odinga asiwe Raisi na walifanikiwa kwa mbinu wanazozijua.

2013 Mwai Kaibaka anamchinjia mbali kabisa mtu aliyemwezesha kuwa Raisi wa tatu la Taifa la Kenya na aliyekuwa msaidizi wake wa karibu kama Waziri Mkuu - Raila Odinga
 
Anajiaandaje mkuu??!!

Mkuu mama D Hassan ajiandaa kupata hesabu za mwisho kabisa kutangaza nani ni Rais.

Mkuu Ndachuwa Raila kajimaliza mwenyewe. Unajua haya mambo mengine yanakuwa na shida. Tulimshangilia Raila kwamba kafanyiwa upasuaji nyumbani kumbe alikuwa anajimaliza. Nadhani Raila alipata mshtuko wa ubongo manake kwenye mdahalo akionekana halijui analolinena.
 
Last edited by a moderator:
Hivi tofauti kati ya 50% + 1 na 51% ni ipi??? Msaada wadau
Kama wapiga kura ni 10,000,0000 basi atayepata 50.00001 percentage ni mshindi ndo manake Kama wapiga kura ni14,000,000 atayepata 50.00000714285 percentage ndio mshindi. Samahani hesabu zimenitoka kidogo, kama nimekosea nipo ready kurekebishwa
 
uhuru kenyatta of course you can see for yourself he has snatched 50.2% against 43.% of Raila omolo Odinga
 
uhuru naona anatoboa kwa kweli japo nilipenda sana Raila ashinde ili katabia kao ka ukabila kapungue nguvu lakini kwa ushindi wake bado ukabila una nguvu yakuamua matokeo kwenye taifa hili.
 
Back
Top Bottom