March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Tribalism Reigns.....Ukabila unaibuka Mshindi inaelekea.Baada ya Peter Kenneth Kukubali kushindwa,Tayari Musalia Mudavadi ame-concede defeat.If it is illegal to claim victory before IEBC declares you as one, why isn't it illegal to accept/concede defeat before IEBC declares it? No wonder the leading candidate wont claim victory and the tailing one (Paul Muite) wont concede yet! Africa,Goshhhhh!
 
11:58 BREAKING: Civil Society group files
case in High Court seeking to stop tallying of
presidential votes, argues process not
credible.
 
uhuru naona anatoboa kwa kweli japo nilipenda sana Raila ashinde ili katabia kao ka ukabila kapungue nguvu lakini kwa ushindi wake bado ukabila una nguvu yakuamua matokeo kwenye taifa hili.
Tribalism is truly at play but it is not the only factor. Kikuyus + Kalenjins population (number) of registered voters, cannot out-number the rest of the population (number) of registered voters.
 
Hii ni kufuatana na runinga ya Citizen sasa hivi, na bado majimbo kama 50 kutolewa matokeo.
 
Matokeo yamesimama kama hivyo

Source; Citizen tv na leo ni mwisho.
 
Bado majimbo 68; Uhuru asipoongoza kwenye hayo majimbo ni dhahiri uchaguzi utarudiwa

12:00pm:
Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

223 out of 291 Constituencies results
____________________________
 
i am the die-hard supporter of Raila but could Uhuru be the East Africa Hugo Chavez now that he's dead. mi naona kama Mungu amewapishanisha japo nchi, bara na rangi zao ni tofauti.
 
uhuru amechakachuliwa... kurudia uchaguzi ni upuuzi..
 
12:00pm:

Uhuru Kenyatta - TNA: 4,835,482 [49.5%]
Raila Odinga - ODM: 4,316,005 [44.2%]

223 out of 291 Constituencies results

Kwa mtindo huu, inabidi litoke jimbo moja in favour of Uhuru ili kumaliza utata wa kwenda second round. Magic inatarajiwa kutoka jimbo moja kubwa huko Meru.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…