Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu kumi wakiwemo askari wa jeshi la polisi katika pwani ya Kenya, Mombasa ni miongoni mwa watu walioripotiwa kuuwawa katika machafuko yaliozuka jana jumapili tarehe 3 march 2013.
Taarifa kutoka vyombo vya dola zinasema kuwa vurugu hizo zimesababishwa na genge la wahuni.
Hii imetokea siku moja kabla ya uchaguzi unaoanza leo jumatatu tarehe 4.
Source: aljazeera-english
why? this election will pass and kenyans will decide peacefullyChumani Polling center voters stranded and going home, voting halted, 3 people feared dead. Including a police office. #KenyaDecides
Toyota Kenya and CMC have cleared their showrooms! Is this 'taking precaution'? #kenyadecides