Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Masanja , Mkuu , kwanza sioni sababu ya kwenda mahakama kwa sasa , kama hiyo sheria waliitunga wenyewe wakenya , na hawakuona tatizo lolote hadi hapa imegusa maslahi ya baadhi ya watu ,itatumike hivyo hivyo , labda kuibadilisha baada ya shughuli za uchaguzi huu kukamilika.
Pili , logically , wako sahihi , ni lazima kura zilizoharibika ziwe included katika total % , ebu fikiria scenario hii, ikitokea % kubwa ya kura zimeharibika (tuchukilie 40 % ya kura zote zilizopigwa) , je unaona ni halali mshindi kupewa kupewa cheo kwa kutumia 60% tu ya kura halali , yaani mtu anashinda >50% kwa kutumia hako ka portion ka 60% tu ?
BTW: Hata TZ tunahesabu kura zilizoharibika na kuzi jumlisha katika matokeo ya jumla.
Kiongozi hapa logic is simple.
Mfano umepewa chaguo la jembe na nyundo. Wewe ukachagua shoka. Waweza sema kwamba inabidi chaguo lako lihesabiwe? My point is; Kura iliyoharibika siyo kura, na hivyo haiwezi kuhesabiwa kwa sababu haikukidhi mahitaji ya kuitwa kura. Mkuu ndo maana serikali nyingi na donors (kwa vinchi masikini) wanajitahidi sana na hii voters education au elimu kwa wapiga kura. Ni kuavoid challenges kama hizi. Otherwise ukisema uhesabu na kura zilizoharibiwa that will certainly lead to injustice. Its complicated but thats the sad reality especially kwenye jamii ambapo swala la kupiga kura bado halijapewa kipaumbele and can be exploited for benefit ya wahusika. In anycase, kama kura imeshakuwa declared invalid its then useless and cannot whatsoever reflect the final tally. Ndo maana kupiga kura ni one of the most serious exercise for any citizen. As they say : You vote. We count the votes. So if you aint careful you can vote and your vote will have no impact at all.
Masanja