Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raila anahitaji kura kama 50,000 tu ili kuhakikisha wanaenda round ya pili , kwa hiyo hii ngoma ndo itaanza upya soonmimi naona kama biashara imekwisha..ukiangalia kula zilizo baki siamini kama raila ataliziba hilo gap la laki tano..
07:40am: Uhuru Kenyatta - TNA: 4,498,896 Raila Odinga - ODM: 4,003,439 ____________________________ 07:15am: Uhuru Kenyatta - TNA: 4,464,511 Raila Odinga - ODM: 3,958,780hii margin bila shaka ni kutaka kusiwe na marudio ya kura Kenyatta aende moja kwa moja23:42 Official presidential results Changamwe constituency: Kiyiapi 61; Karua 63; Dida 209; Mudavadi 468; Muite 13; Kenneth 267; Odinga 27,552; Kenyatta 9,096.23:39 Official presidential results Kitutu Chache constituency: Kiyiapi 190; Karua 247; Dida 68; Mudavadi 294; Muite 49; Kenneth 286; Odinga 31,283; Kenyatta 5,266.23:37 Official presidential results Homa Bay Town constituency: Kiyiapi 41; Karua 13; Dida 6; Mudavadi 75; Muite 2; Kenneth 29; Odinga 30,834; Kenyatta 152.23:35 Official presidential results Kitui South constituency: Kiyiapi 283; Karua 394; Dida 140; Mudavadi 534; Muite 169; Kenneth 203; Odinga 31,431; Kenyatta 4,195.
Mkuu Ritz kumbe upo na huku. Mimi nimekaribia kabisa mpakani mwa Kenya maeneo ya Isbania naona wajaluo wanalia wakiwa makundi makundi. Jana nilimuona James Orengo akitokwa na kamasi kisha nikamuona Kalonzo Musyoka akitoa taarifa kwamba kuna uwezekano kura zimekuwa doctad nikajua basi kazi imeisha. Dunia haiwatendei haki watu. Pamoja na Raila kupata suna ili akubaliwe na wakikuyu kupata urais mambo yamekuwa bado magumu kama jiwe!Siyo kula ni kura. Poleni sana.
Mkuu Ritz kumbe upo na huku. Mimi nimekaribia kabisa mpakani mwa Kenya maeneo ya Isbania naona wajaluo wanalia wakiwa makundi makundi. Jana nilimuona James Orengo akitokwa na kamasi kisha nikamuona Kalonzo Musyoka akitoa taarifa kwamba kuna uwezekano kura zimekuwa doctad nikajua basi kazi imeisha. Dunia haiwatendei haki watu. Pamoja na Raila kupata suna ili akubaliwe na wakikuyu kupata urais mambo yamekuwa bado magumu kama jiwe!
Hii ngoma inaenda round 2.
Sasa hivi gap lipo around 600,000 sasa sijui hiyo 2nd round inatoka wapi.....
Usiangalie gap la kura, angalia gap la %age ndo litakaloamua ndugu! Inatakiwa iwe 51% or above na sio 50.99% or below,upo hapo? Sasa chukua hiyo 600,000 ambayo ndiyo difference uone ni % ngapi ya total vote casted? Do you get what am trying to enlight you? 2nd round is unavoidable man!
Mkuu Kimbunga,
Nipo ndugu yangu kuna jamaa yangu Jaluo yupo Kisumu analia ovyo anaelekea migori saizi.
Winner needs 50% + 1 votes
At least 25% of votes in 24 Counties
Je, idadi ya kura iliyobaki inamake hiyo hapo kwenye red? Na je, wanapiga kwa percentage ya kura zilizopigwa au kura zilizohesabiwa??? Naona kama ni 50.89% vile!
Hapa lazima tatizo litokee na hasa ukifikiria idadi ya kura zilizoharibika
Mkuu sio 51% bali 50%+1 vote, kwa hiyo anywhere above 50%, whether 50.000001% then the winner should be announced.Usiangalie gap la kura, angalia gap la %age ndo litakaloamua ndugu! Inatakiwa iwe 51% or above na sio 50.99% or below,upo hapo? Sasa chukua hiyo 600,000 ambayo ndiyo difference uone ni % ngapi ya total vote casted? Do you get what am trying to enlight you? 2nd round is unavoidable man!
Hii ngoma inaenda round 2.
ni 50% + 1vote hii sio sawa na 51% cheki vizuri kumbukumbu zakoUsiangalie gap la kura, angalia gap la %age ndo litakaloamua ndugu! Inatakiwa iwe 51% or above na sio 50.99% or below,upo hapo? Sasa chukua hiyo 600,000 ambayo ndiyo difference uone ni % ngapi ya total vote casted? Do you get what am trying to enlight you? 2nd round is unavoidable man!