March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Ni kweli mkuu mpira dakika 90 lakini aliye mbele ana probability kubwa ya kushinda kuliko aliye nyuma, halafu hakuna sehemu nimesema kwamba ameshinda nimesema kwa nini tusimwone kama mshindi.
kwasaabu hatutaki awe mshindi....
 
Wakuu, matokeo yalivyo kwa sasa yanampa ushindi Uhuru. Kura 5,159,344 alizonazo yanampa asilimia 50.003 kwa kura 10,312,347 ambazo zimewekwa kwenye hesabu. Asilimia 50.003 ni zaidi ya 50%+1

Tiba
 
What is the difference between the High Court and Supreme Court? I thought they were the same and that was a reason I posed that question on my reply.
Ukwelikitugani has made it very clear, please go through his/her clarification and you will see the difference.
 
Wakuu, matokeo yalivyo kwa sasa yanampa ushindi Uhuru. Kura 5,159,344 alizonazo yanampa asilimia 50.003 kwa kura 10,312,347 ambazo zimewekwa kwenye hesabu. Asilimia 50.003 ni zaidi ya 50%+1

Tiba
Huyu Uhuru ili ashinde anatakiwa abroad up gap kati ya 680,000 hadi 700,000, hii ni kwa sababu za wale wengine sita na rejected ukijumlisha hazifiki laki saba, lakini kama nao wataongeza inabidi gap liwe zaidi ya hapo.
 
Ndugu yangu, mbona unajaribu kupingana na statistics? Nilichoandika ni kutokana na hali halisi na wewe unaleta matarajio. Haya mimi najitoa.

Tiba
 
Nani kapeleka suala hili mahakamani tena?
Uchaguzi Kenya - BREAKING: Civil Society group imefungua kesi kuishinikiza Mahakama Kuu ya Kenya isimamishe zoezi la kuhesabu kura. Wanasema hawana imani na mchakato mzima.

https://www.jamiiforums.com/kenyan-...e-in-high-court-seeking-to-stop-tallying.html
[h=5]BBC Swahili
[/h][h=5]Mahakama kuu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyokuwa imewasilishwa na mashirika ya kijamii dhidi ya tume ya uchaguzi wakiitaka isitishe shughuli ya kuhesabu kura za urais. Walidai kuwa tume hiyo inahujumu matokeo hayo.

[/h]
 
Ndugu yangu, mbona unajaribu kupingana na statistics? Nilichoandika ni kutokana na hali halisi na wewe unaleta matarajio. Haya mimi najitoa.

Tiba
Mkuu usijitoe, mimi najaribu kumhakikishia ushindi ambao hauna shaka, otherwise tuko pamoja. jubilee oyeeeeeeeee!
 
Wewe na Rage ndiyo mnao tuhalibia na timu yetu kwa lioye lenu...

hakuna round ya pili odinga imekula kwake

2002 alijitoa Kanu akamkimbilia Kibaki.
2007 alimkimbia Kibaki na kuanzisha ODM ambayo alishindwa kukaa na wenzake ambao walifahamika kama Pentagon na matokeo yake wakamkimbia.
Miongoni mwa viongozi waandamizi wa Pentagon alikuwapo Mama Charity Ngiru, Najib Balala, William Ruto, na Wycleaf Musalia Mudavadi.

nakumbuka Balala alikoswakoswa kupigwa Risasi ijumaa moja alipokuwa anaanzisha maandamano mjini Mvita katika kupinga matokeo ya uchaguzi ambayo haihitaji elimu ya Chuo kikuu kugundua kuwa Kibaki alikwiba.

Shame on you Odinga.
wewe ni mamluki, na wanaokupapatikia hawajui ulichowatenda wakenya.

Zaidi ya watu alfu na mia mbili walipoteza maisha mwaka 2008.
Wengi wao walikuwa wamekuchagua uwe kiongozi wao.
Lakini kwa uroho wa madaraka ulipopewa tu uwaziri mkuu uliwasaliti na kuingia kwenye serikali ya mseto.

Wakenya wana kumbukumbu na ndio maana hata maeneo ulioshinda mwaka ule basi mwaka huu wamekuchinja.

na mtu yeyote akienda Mbinguni kisha akamkuta huyu jamaa basi namshauri akimbie mbio na aondoke sehemu hiyo.
Maana hapo si pa watu watakatifu.
 
Unajua wewe una ugonjwa wa mfazaiko tangu utandikwe na lile litimu sitaki kulitaja.....hii ngoma inaenda round ya pili
Hayo matokeo ya hilo litimu na Mtibwa yamenifanya nisifuatilie kabisa hata ratiba, sahivi hata sijui tunacheza lini, ila huko kwa majirani wetu wa kaskazini Raila atapoteza, nimeona majimbo ambayo bado mengi yataangukia kwa Uhuru, maana kwa upande wa Kisumu yamebaki matatu na western kama kumi ambako hata Uhuru ana ubavu wa kupata kama 40% ya kura za huko.
 
2002 alijitoa Kanu akamkimbilia Kibaki.
2007 alimkimbia Kibaki na kuanzisha ODM ambayo alishindwa kukaa na wenzake ambao walifahamika kama Pentagon na matokeo yake wakamkimbia.
Miongoni mwa viongozi waandamizi wa Pentagon alikuwapo Mama Charity Ngiru, Najib Balala, William Ruto, na Wycleaf Musalia Mudavadi.

nakumbuka Balala alikoswakoswa kupigwa Risasi ijumaa moja alipokuwa anaanzisha maandamano mjini Mvita katika kupinga matokeo ya uchaguzi ambayo haihitaji elimu ya Chuo kikuu kugundua kuwa Kibaki alikwiba.

Shame on you Leila Odinga.
wewe ni mamluki, na wanaokupapatikia hawajui ulichowatenda wakenya.

Zaidi ya watu alfu na mia mbili walipoteza maisha mwaka 2008.
Wengi wao walikuwa wamekuchagua uwe kiongozi wao.
Lakini kwa uroho wa madaraka ulipopewa tu uwaziri mkuu uliwasaliti na kuingia kwenye serikali ya mseto.

Wakenya wana kumbukumbu na ndio maana hata maeneo ulioshinda mwaka ule basi mwaka huu wamekuchinja.

na mtu yeyote akienda Mbinguni kisha akamkuta huyu jamaa basi namshauri akimbie mbio na aondoke sehemu hiyo.
Maana hapo si pa watu watakatifu.

Shame on you Jaluo jinga jeusi....

You last sentence summarizes everything that one need to know about you! How can you discriminate your fellow human being like that? This is really sad .
 
Wewe na Rage ndiyo mnao tuhalibia na timu yetu kwa lioye lenu...
Mkuu uchaguzi ukifika kachukue fomu umtoe Rage, Oyeeeeeee ni Jubilee na TNA si unaona rangi za TNA sio ya njano na kijani au jembe na nyundo za pale Lumumba.
 
Hayo matokeo ya hilo litimu na Mtibwa yamenifanya nisifuatilie kabisa hata ratiba, sahivi hata sijui tunacheza lini, ila huko kwa majirani wetu wa kaskazini Raila atapoteza, nimeona majimbo ambayo bado mengi yataangukia kwa Uhuru, maana kwa upande wa Kisumu yamebaki matatu na western kama kumi ambako hata Uhuru ana ubavu wa kupata kama 40% ya kura za huko.
Pole ngoja tufatilie mpambano kati ya Kenyatta na Raila ila nakuomba subiri mpaka dakika ya mwisho..hakuna kuzimia
 
Back
Top Bottom