OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama ningekuwa refa yeyote atayembutua huyu dogo kiwango hiki ni red card. Nadhani ukilima kadi wawili hawatarudia. Kinachomsaidia ni kuwa flexible na anapiga judo, tofauti na hapo angeshafunjika viungo.