Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hili soka la hii nchi linashangaza sana. Kuna majinga yanaingia uwanjani na matokeo yaoo kisa mabosi wa Mpira wamewambia hakikisha hii timu inashinda.
Refa anafanya ujinga uwanjani. Anaicost timu mashabiki wanaumia wanateseka unaambiwa Refa kaaribu muwakanye unatishia kufungiaa watu hamtaki kuambiwa ukweli.
Refa mnamfungia mechi unajua madhara yake.......akiharibu mechi.
Hebu badilikeni jamani, kama mmeshtukiwa kupanga matokeo mkubali imetosha.
Mmefungia Haji Manara.
Mmemfungia Jerry Muro.
Sasa Ali Kamwe.
Kwani hiyo kamati imekuwa ya kihuni kiasi hicho kufungia WASEMAJI WA YANGA tu mbona mnatia aibu sheikh wangu Karia.
Fungieni fungeeni mtaambiwa ukweli Ali Kamwe ni mwanahabari ataajiriwa kwingine na ataongelea Mpira popote pale na madhaifu yenu mtaambiwa.
Ubaya umwala.