Marefa mnawafungia mechi 2-4, hao wasemaji wanao waambia ukweli na udhaifu wenu mnawafungia miaka miwili mna akili kweli nyie?

Marefa mnawafungia mechi 2-4, hao wasemaji wanao waambia ukweli na udhaifu wenu mnawafungia miaka miwili mna akili kweli nyie?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hili soka la hii nchi linashangaza sana. Kuna majinga yanaingia uwanjani na matokeo yaoo kisa mabosi wa Mpira wamewambia hakikisha hii timu inashinda.

Refa anafanya ujinga uwanjani. Anaicost timu mashabiki wanaumia wanateseka unaambiwa Refa kaaribu muwakanye unatishia kufungiaa watu hamtaki kuambiwa ukweli.

Refa mnamfungia mechi unajua madhara yake.......akiharibu mechi.

Hebu badilikeni jamani, kama mmeshtukiwa kupanga matokeo mkubali imetosha.

Mmefungia Haji Manara.
Mmemfungia Jerry Muro.
Sasa Ali Kamwe.

Kwani hiyo kamati imekuwa ya kihuni kiasi hicho kufungia WASEMAJI WA YANGA tu mbona mnatia aibu sheikh wangu Karia.

Fungieni fungeeni mtaambiwa ukweli Ali Kamwe ni mwanahabari ataajiriwa kwingine na ataongelea Mpira popote pale na madhaifu yenu mtaambiwa.

Ubaya umwala.
 
Ni upumbavu ulio kithili.
Ni sheria kandamizi kwa wapenda haki kisoka
Ni umafia wa kimpira.
Ni ujuha kuendekeza sheria mbaya namna hii ili kuficha UJINGA WANMAREFARII
 
Hili soka la hii nchi linashangaza sana. Kuna majinga yanaingia uwanjani na matokeo yaoo kisa mabosi wa Mpira wamewambia hakikisha hii timu inashinda.

Refa anafanya ujinga uwanjani. Anaicost timu mashabiki wanaumia wanateseka unaambiwa Refa kaaribu muwakanye unatishia kufungiaa watu hamtaki kuambiwa ukweli.

Refa mnamfungia mechi unajua madhara yake.......akiharibu mechi.

Hebu badilikeni jamani, kama mmeshtukiwa kupanga matokeo mkubali imetosha.

Mmefungia Haji Manara.
Mmemfungia Jerry Muro.
Sasa Ali Kamwe.

Kwani hiyo kamati imekuwa ya kihuni kiasi hicho kufungia WASEMAJI WA YANGA tu mbona mnatia aibu sheikh wangu Karia.

Fungieni fungeeni mtaambiwa ukweli Ali Kamwe ni mwanahabari ataajiriwa kwingine na ataongelea Mpira popote pale na madhaifu yenu mtaambiwa.

Ubaya umwala.
Samahani ndugu, naomba nifahamishe huyu Ali kamwe kafanya kosa gani maana nasikia tu kwamba kafungiwa
 
Hujuma kwa Yanga kuelekea derby, Simba wanamtumia kidau kuihujum Yanga mkuu
 
Kwasasa marefa kuwalaumu haita saidia, Awa marefa si wendawazimu wanafata maelekezo.
Ndio maana refa hana wasiwasi kuaribu mechi, haiwezekani katika akili ya kawaida refa anaye aribu mechi zaidi ya moja kwa matukio tata bado anaendelea kuchezesha katika ligi.

Walivyo ona presha imezidi kwakua wao wakubwa wanatoa maelekezo kwa marefa na wadau wanayajadili wazi wazi yale mapungufu waka amua kuwanyamazisha kwa vitisho vya kufungia wadau.

Uwezi kuibeba timu mechi zaidi ya Saba watu wakae kimya, mkitaka ivyo zuieni mechi za iyo timu zisionyeshwe ili iwe inapata ushindi wa gizani.

Watu wataendelea kuongea kwakua wanacho ongelea ni cha kweli na ni ku usaidia mpira wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom