Marefa wa Kitanzania kutokuitwa kuchezesha Mashindano Makubwa ya kimataifa isiwe Kichaka na Sababu ya Kila siku kuwalaumu kua wanamakosa

Marefa wa Kitanzania kutokuitwa kuchezesha Mashindano Makubwa ya kimataifa isiwe Kichaka na Sababu ya Kila siku kuwalaumu kua wanamakosa

Hujaona ile kuna offside Azam waliambia wameotea kipindi cha pili hichohicho kwanini usisemee kua yale maamuzi yalikua ya hovyo?

Ila nyie busy kuangalia upande wenu.

Mi nimesema yale ni makosa ya kibinadamu maaaa hata ikiwepo VAR bado mtu anaweza goma na msimfanye lolote hayo tumeyaona sana hata huko Ulaya.

So Mkiwa mnaimba HAKI iimbeni hata kwa Wengine msiitake ifanyike kwenu tu.

Hizi Team ndio zinaongoza kubebwa na Waamuzi na waamuzi wanaiogopa ana kisa watu kama nyie daily mnataka Favour za Marefa.
Rungu la faini kibao linaangukia kwa makolo
 
Back
Top Bottom