Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu Yanga.
Yanga ni kama fisi sasa anakula kwa ujanja ujanja tu, yaani game anaua Said Hersy na Mayele na wenzake wanakula mizoga tu. Hyena depends on easily meals and never hunts. Yanga haikutani na challenge kubwa uwanjani kama ambavyo Simba anakumbana na upinzani mkubwa.
NB: Wakati marefa wanaidhoofisha Yanga, Yanga wenyewe wanaiimarisha Simba SC kimataifa kwa kuongea na mpinzani wa Simba ndani na nje ya ligi.