Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Haibadilishi ukweli kwamba sisi Yanga ni byutibyuti.😂😂😂japo sina ushabiki wa mpira ila hapa umeongea ujinga hakuna timu bongo itaona wivu kwa kushinda mechi za ligi dhaifu mapambano yapo kimataifa mnakoenda kukutana na timu na marefa makini.
msemaji wenu ashasema mnaionea simba wivu kisifiwa na mh. raisi suluhu , manara hakukosea kusema yanga wenye akili ni wawili tu
Unaona sasa?Wivu wako kwetu sisi byutibyuti!😂😂😂😂Gere? Ip. Toka 1998 wajinga wakubwa nyie
Wewe ulichukua rushwa tulipokulamba ngao. Na Mtibwa ulimhonga siyo.Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu Yanga.
Yanga ni kama fisi sasa anakula kwa ujanja ujanja tu, yaani game anaua Said Hersy na Mayele na wenzake wanakula mizoga tu. Hyena depends on easily meals and never hunts. Yanga haikutani na challenge kubwa uwanjani kama ambavyo Simba anakumbana na upinzani mkubwa.
NB: Wakati marefa wanaidhoofisha Yanga, Yanga wenyewe wanaiimarisha Simba SC kimataifa kwa kuongea na mpinzani wa Simba ndani na nje ya ligi.
Ile game mlikamia tu na kwakuwa ni derbyWewe ulichukua rushwa tulipokulamba ngao. Na Mtibwa ulimhonga siyo.
umeandika smart sana broYanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu Yanga.
Yanga ni kama fisi sasa anakula kwa ujanja ujanja tu, yaani game anaua Said Hersy na Mayele na wenzake wanakula mizoga tu. Hyena depends on easily meals and never hunts. Yanga haikutani na challenge kubwa uwanjani kama ambavyo Simba anakumbana na upinzani mkubwa.
NB: Wakati marefa wanaidhoofisha Yanga, Yanga wenyewe wanaiimarisha Simba SC kimataifa kwa kuongea na mpinzani wa Simba ndani na nje ya ligi.
Unawasingizia tu, Yanga waandae timu kwa mashindano makubwa msimu ujao.Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu Yanga.
We ulitaka MVP awe nani?Na kibaya zaidi ni hao wanaojiita wachambuzi wa mpira.Asilimia kubwa wanaisifu na kuwapa kichwa sana wachezaji.
Ukuangalia MVP wa Tanzania hadi unajiuliza hivi sisi mambo huwa tunayapelekaje?!!Yaani huyu huyu Bangala mbona wa kawaida sana?!
Uhalisia wa timu unaiona mechi za kimataifa. Huu ndio uhalisia wa hii timu.
Waache michezo ya kihuni kwenye ligi,maana walidanganywa na wachambuzi eti Simba anashinda kihuni
Bingwa ×28Vipimo wanvyotumia kuiona Yanga ni bora sijawahi kukielewa maana hawatumii rank za CAF wala za FIFA naona kama wanapiga bomu mortuary tu
Boss itabidi tukuajir Azam TV unalijua sana ball weweYanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu Yanga.
Yanga ni kama fisi sasa anakula kwa ujanja ujanja tu, yaani game anaua Said Hersy na Mayele na wenzake wanakula mizoga tu. Hyena depends on easily meals and never hunts. Yanga haikutani na challenge kubwa uwanjani kama ambavyo Simba anakumbana na upinzani mkubwa.
NB: Wakati marefa wanaidhoofisha Yanga, Yanga wenyewe wanaiimarisha Simba SC kimataifa kwa kuongea na mpinzani wa Simba ndani na nje ya ligi.
Unawasingizia tu, Yanga waandae timu kwa mashindano makubwa msimu ujao.
Ushindi wa Tigo pesa
Azam Tv wana balance mambo ya watani na hiyo ndio ethics zao ili wasichukiwe na upande mmoja. Mambo ya kuchukua fomu watu 49 na akarudisha mmoja naye alipita bila kupingwa Azam Media walikaa kimya.Boss itabidi tukuajir Azam TV unalijua sana ball wewe