Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtembeni,Maalim wangu usemacho hakina ubishi hakika Yanga na Simba ni watani wa jadi ila wapenzi wa kila timu tulikuwa na mapenzi ya dhati kwa timu zetu,bahati nzuri Barza yetu ni mseto lakini ukikuta tunavyo interact kwenye Ukwala na Uabijo ni raha tupu.
Maalim sitaki ubishi na wewe lakini Marehemu kiguru haiwezekani awe kiboko yetu,hata kwetu kuna watu ambao walikuwa kiboko kwenu kwa uchache tuu kulikuwa na Marehemu Mnuwili,Samuel Copper,Zoom bila kumsahau Marehemu Tokyo (aliacha kazi UDA kujakuendesha Bus Yanga)! Kwa kumalizia Amiri Mgido Abijo mlikuwa hamuoni ndani.
[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji1]
Maalim wangu usemacho hakina ubishi hakika Yanga na Simba ni watani wa jadi ila wapenzi wa kila timu tulikuwa na mapenzi ya dhati kwa timu zetu,bahati nzuri Barza yetu ni mseto lakini ukikuta tunavyo interact kwenye Ukwala na Uabijo ni raha tupu.