Marehemu Ayubu Kiguru: Shabiki mkubwa wa Sunderland football club miaka ya 1960

Halafu anakuja MTU anasema THAMANI halisi ya Simba ni 20 Billions!!
 
Mtembeni,
Nakutaka ruksa tena nizungumze na wana Simba wenzangu.
Huyu Mtembeni kama kawaida ya Yanga hawakubali kushindwa.

Hao wote aliowataja mie nakuja na shujaa mmoja tu nione kama
yeye ana mafano wa huyo - Bin Sudi muuza madafu Odeon Cinema.

Lakini jambo moja niseme hapa hawa Yanga ni muhimu maana ndiyo
wanafanya damu zizunguke kwetu si unaona hapa ananvyotaka bila
sababu kunipandisha midadi tubwatizane.

Ndugu yangu umenikumbusha Mnuwili.
Barza nitakupeni kisa cha Mnuwili na Hafidh Ahmed Saleh.

Muarabu na Mmakonde.

Maarufu, Hafidh Liwali kwa kuwa baba yake ndiye aliyekuwa liwali
wa Dar es Salaam katika miaka ya 1940 na yeye mwenyewe akacheza
Yanga.

Leo nimemkacha mtani wangu Kambi Kilago.
Nasubiri ''steam,'' zake zipoe kwanza.

Hofu yangu ni kuwa anaweza kunigongea mlango In Shaallah kesho asubuhi.
 

Mtebetini,
Mtani wangu nakuletea zawadi hii ya wachezaji wa Yanga na Simba
kwa nyakati tofauti wakiwa khitimani Saigon 2001:


Kushoto: Boi Wickens, Captain Malik, Emmanuel Mbele na Khalid Abeid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…