Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mwaka 2003, safari yangu ya kwenda Tanga iliiva kutoka mkoani Kilimanjaro, kwa babu mzaa baba, kuelekea Tanga kwa babu mzaa mama. Siku hiyo nyumbani kwa babu kulikuwa na sherehe, basi watu walikula na kucheza sana. Wakati wa kucheza babu akanikuta niko nimeshikilia jimama nacheza nalo, ile kuniona alicheka sana mana lilikuwa jimama kweli paje lake mwili wangu. Sherehe ilipoisha nakumbuka marehemu babu aliniita na kuniambia wakati wako ushafika kesho lazima uingie kilingeni.
Sikumwelewa babu nikajua pombe ziko kichwani, kila mtu akaenda kulala siku ikapita.Kesho asubuhi baada ya kifungua kinywa marehemu babu alinambia ukimaliza twende tutete. Tukiwa tunateta akaniuliza “ushawahi kupanda tetea?”. Mie nikabaki nacheka tu mana niliona babu yangu mambo meng. Akanambia “wewe ni mjukuu wangu wa kiume kwa hiyo nataka nikufundishe namna ya kulala na wanawake wengi sana bila kutumia nguvu nyingi. Akaanza kujigamba kwanza nimekaza wasichana kijiji kizima, kwa shauku nikataka kujua Zaidi.
Mbinu ya kwanza aliyonipa mrehemubabu:
Ukitaka kulala na msichana na marafiki zake basi umpe sababu ya kwenda awasimulie marafiki zake. Pale msichana anapoona utofauti au akastaajabishwa basi lazima aende kuwasimulia mashosti zake, na wale mashosti zake watataka kukujua pia hapo utakuwa umeua ndege wengi kwa jiwe moja. Nikamuliza marehemu babu “wewe unatumia mbinu gani kuwastaajabisha wasichana uliolala nao na mashosti zake???
Babu Alinisimulia alivyokaza kijiji kizima, yeye akitongoza msichana siku ya mchezo marehemu babu alikuwa anavaa shanga. Marehemu babu alikuwa anakula mzigo huku katingaa shanga zake kiunoni, mchezo ukiisha yule msichana anaenda kusimuliza wenzake “yule mdigo anavaa shanga”. Wale wenzake wakawa wanajipendekeza kwa marehemu babu ili naowazione zile shanga na watataka walale na nae ili wazione. Kesho yake akiwa na mashosti wa msichana aliyetembea nae havai shanga, anastaajabishwa mbona hakuvaa shanga atataka mchezo urudiwe mpaka azione. Michezo hiyo akajikuta kala mademu wote kijiji kizima kipindi hicho mpaka akatundikwa jina Mdogo Mapenzi.
Nikamwambia marehemu babu hilo mie siliwezi labda anipe mbinu nyingine, akacheka sana akasema yani watoto wa kizazi hiki waoga sana.
Mbinu ya pili aliyonipa marehemu babu :
Marehemu babu akanambia njia ya pili ya kupata wanawake wengi ni kutengeneza busha. Yeye alivyotengeneza lake liliwavutia wanawake wengi sana kwani wengi wanakuwa na hamu ya kutaka kuliona tu na lina joto sana. Babu alinambia demu akionja lile joto akikutana na mwanaume asiye na joto lile jawezi mfikisha popote pale.
Nakumbuka siku moja tukiwa tuko mtoni tunaogelea na vijana wenzangu marehemu babu akaja akatutimua. Nakumbuka nilienda kurudi nikamchabo marehemu babu yuko juu ya maji anaogelea akiawa ametulia akawa anasukuma lile busha na kidole liingie kwenye maji alafu analiachia linakuwa linacheza cheza kwenye yale maji kama mtumbwi linanesanesa chini juu chini juu marehemu babu anapiga kelele tu mwenyewe.
Tuendelee, marehemu babu akanambia “kesho nitakupeleka kwa rafiki yangu akutengeneze kibusha kidogo”, nikamjibu “hapana babu nipe mbinu nyingine”. Akanangalia akatikisa kichwa tu kana kwamba namkwaza.
Mbinu ya tatu aliyonipa marehemu babu:
Marehemu babu alinambia inabidi utafute dodoki au mpapai unaozaa vizuri sana. Ukiupata chukua wembe jichane chale mbili kwenye dushe na uchane kwenye dodoki au papai chale mbili na ule utomvu uupake kwenye dushe na ile damu uipake kwenye ule mpapai au dodoki ulilolichana. Basi hapo papai/dodoki litakavyokuwa na dushe litakuwa linakuwa. Likiwa kubwa kiasi unachotaka basi ukate ule mpapai/dodoki.
Babu akasema “kuna mpapai uko hapo nyuma ya nyuma utakuwa unafaa kabisa”. Nikamjibu “Kwa kweli unavyonambia mbona vigumu kidogo babu kwa nini tusianze na mbinu nyepesi Marehemu babu aliuzunika sana akachukua mkongojo wake akanitandika nao kichwani toka na upuuzi wako hapa watoto wa mjini mayai sana nitokee hapa.
Nilimsumbua sana babu wakati wa uhai wake anipe hizo mbinu nyingine na aligoma kata kata mpaka nifanye moja ya mbinu alizonipa. Alichukia kwa kuwa alitegemea mie ndie nitavaa viatu vyake ila kwa kweli havikuwa saizi yangu.
Ila baada ya kumsumbua sana alinipa ushauri kuhusu wanawake wanaofaa basi itaendelea...