dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
niliwahi ambia na jamaa yangu nikiwa advance, aisee alivyosema habari za kuchanja dushe nikaona hapa kuna kuleteana ulemavu[emoji23][emoji23]Kwa akili yangu tu nadhani ule utomvu unafanya dushe linavimba na watu wanasema ndio inaongeza ukubwa. Ubaya wake ukivimba vimba hata udinde vipi damu inakuwa haitoshi kubeba mzigo huu na unaweza pata matatizo ua uzazi pia..
mimi mtu akiongelea habari za kuchanja chanja sehemu yoyote ya mwili huwa simwamini, labda iwe kupaka tu!!