Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
sinza pazuri taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio kweli labda kama alilia anapewa character ndogp ndogp level ya mhogo mchungu bi mwenda hakufika uko ila alikuepo kuepo kwenye usanii kama average artisNi Msanii maarufu sana na Mwenye kazi nyingi za Sanaa na Uigizaji wake sijaona Wa Kuziba pengo lake..
Pengine umri wako ni mika 20 au 30 Ulikuwa mdogo kipindi anaigiza..
Grace ni level sawa tu na Kanumba..
Sawa sawa mkuu tupo pamoja kumbeNdiyo
Yaani We Una Uwezo wa Kumdharau Muhogo mchungu Kweli au Bi mwenda au Kina Bi Chau..Hapana sio kweli labda kama alilia anapewa character ndogp ndogp level ya mhogo mchungu bi mwenda hakufika uko ila alikuepo kuepo kwenye usanii kama average artis
Sijawadharau nimewaheshim kama alama ya tansia kina bishanga bichau pwagu na pwaguz rich na nk ndio wasanii wakubwa na wakongwe tumeiziona kaz zao ila kwa huyu milage aliyopewa na kaz aliyofanya haziendaniYaani We Una Uwezo wa Kumdharau Muhogo mchungu Kweli au Bi mwenda au Kina Bi Chau..
Basi kweli nimeamini Nabishana na Mtoto..
Unafahamu hata Mikanda ya Kina Mzee Small na kina Mzee Pwagu??
Duh Bhasi fanya uchimbe sana kuhusu Historia Yako ya Bongo Movies na Mziki..
Mwisho wa Siku utakuja Niambia Single Mtambalike au Jacob Steven (JB) Ni wasanii wa Juzi
Una uhakika Shigongo "hamjui"? Baba wa watoto wake wawili sijamwona.Misiba Mingi ya Wasanii inakuzwa kwa sababu walio hai hilo ndilo Eneo la kutafuta Kiki.
Hasa kuelekea Msimu wa Uchaguzi kama huu hata wasiomjua kama Chalamila na Shigongo nao watajitokeza kujizolea Umaarufu
Aisee mkuu umenikumbusha mbali sana huyu jamaa hata wakina Siyawezi hawajuiYaani We Una Uwezo wa Kumdharau Muhogo mchungu Kweli au Bi mwenda au Kina Bi Chau..
Basi kweli nimeamini Nabishana na Mtoto..
Unafahamu hata Mikanda ya Kina Mzee Small na kina Mzee Pwagu??
Duh Bhasi fanya uchimbe sana kuhusu Historia Yako ya Bongo Movies na Mziki..
Mwisho wa Siku utakuja Niambia Single Mtambalike au Jacob Steven (JB) Ni wasanii wa Juzi
Yes mimi pia lakin masinde sio level ya kina muhogo mchungu mzee small au kanumba ni msanii mkongwe lakin sio mkubwaAnajulikana sana mzee labda wewe kwako hakua maarufu binafsi mimi nimeanza kumuona enzi hizo nikiwa mtoto miaka ya 2000s tulikua tunamuangalia kupitia ITV kila jumamosi saa 3 usiku, walikua wanaigiza na mzee mmoja anajiita Masinde, alikua anapendwa sana.
Unazifahamu kazi zake?? Hebu nitajieSijawadharau nimewaheshim kama alama ya tansia kina bishanga bichau pwagu na pwaguz rich na nk ndio wasanii wakubwa na wakongwe tumeiziona kaz zao ila kwa huyu milage aliyopewa na kaz aliyofanya haziendani
Hahaha Hawezi kuwajua yeye anamjua Kanumba ambaye pia na yeye huenda Amemkuta yeye akiwa mdogo Tukienda kwa Kina Mashaka..Aisee mkuu umenikumbusha mbali sana huyu jamaa hata wakina Siyawezi hawajui
Kama TV umeanza kuangalia 2016 ni kweli Grace Mapunda siyo maarufuYes mimi pia lakin masinde sio level ya kina muhogo mchungu mzee small au kanumba ni msanii mkongwe lakin sio mkubwa
Bila ya kuweka hii picha nisingeliweza kumkumbuka.Sote tunafaham ni Muigizaji (Msanii) lakini sio big fish kama Kanumba katika sanaa ya maigizo. Samata katika sanaa ya mpira. Diamond katika sanaa ya mziki. Mbowe katika siasa
Msanii Grace Mapunda ni msanii mkongwe asiejulikana yaani kitaalam tunaita famous unkown lakin msiba wake umekuwa mkubwa kama wa msanii mkubwa Tanzania.
Pia, soma: TANZIA - Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia
Mara ya kwanza naiona picha yake nikajiuliza nani huyu baada ya kuvuta picha ikaja picha yake.
Je, naye alikua anavaa suti nyeusi kwa siri kama mtangazaji wa Wasafi Mau Kikanga.
Maana wamekufa wasanii wengi lakini hakuna aliepewa nguvu kubwa na masikitiko mengi kama huyu
Pia soma: Chalamila ahimiza mfuko wa kwa ajili ya wasanii wa maigizo, Ofisi yake kutoa milioni 15