Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Siamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.
Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans Pope asingekubali timu zidhaminiwe na washindani wenzake Yaan Man Utd izidhamini Man City, Liverpool, Tottenham, southampton, hiyo haipo kabisa.
Hans Pope angesikaa kimya akiona mambo hayaendi sawa na timu inapoteza point kizembe.
Wanakwenda kutufunga tena mara ya 5 mfululizo nimekaa pale