Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga anagawa dozi hadi watu wanachanganyikiwaUwanja umefungiwa Jana,alafu yanga atacheza na Tabora mwezi wa4 huoni hapa katikati wanaweza kufanya maboresho na yanga akacheza ktk uwanja huo?
Wewe unahisi Hanspope angefanya nini hapo kitu ambacho viongozi wa sasa hawajakifanya. Kinge impact nini kwenye huo udhamini wa GSM?Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans Pope asingekubali timu zidhaminiwe na washindani wenzake Yaan Man Utd izidhamini Man City, Liverpool, Tottenham, southampton, hiyo haipo kabisa.
bado saana...ndo kwanza kumekuchaSiamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.
Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans Pope asingekubali timu zidhaminiwe na washindani wenzake Yaan Man Utd izidhamini Man City, Liverpool, Tottenham, southampton, hiyo haipo kabisa.
Hans Pope angesikaa kimya akiona mambo hayaendi sawa na timu inapoteza point kizembe.
Wanakwenda kutufunga tena mara ya 5 mfululizo nimekaa pale
Kwa hiyo Hans Pope alikuwa ni zaidi ya Bodi ya Ligi siyo! Yaani hata kama uwanja ni mbovu, bado angeweza kutoa amri uendelee kutumika kinyume na kanuni zilizowekwa na TFF!Siamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.
Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans Pope asingekubali timu zidhaminiwe na washindani wenzake Yaan Man Utd izidhamini Man City, Liverpool, Tottenham, southampton, hiyo haipo kabisa.
Hans Pope angesikaa kimya akiona mambo hayaendi sawa na timu inapoteza point kizembe.
Wanakwenda kutufunga tena mara ya 5 mfululizo nimekaa pale
Kamfufueeee........kila zama kitabu chakeSiamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.
Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans Pope asingekubali timu zidhaminiwe na washindani wenzake Yaan Man Utd izidhamini Man City, Liverpool, Tottenham, southampton, hiyo haipo kabisa.
Hans Pope angesikaa kimya akiona mambo hayaendi sawa na timu inapoteza point kizembe.
Wanakwenda kutufunga tena mara ya 5 mfululizo nimekaa pale
Na mtafungwa tu, whether you like or not.Hatufungwi mara ya 5 mfululizo mechi hii tunashinda vizuri. Mark my words budaa. Ni kweli try again alituchelewesha.
Vilio vimekuwa vingi kila mtu analaumiwa sasa🤣🤣Siamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.
Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans Pope asingekubali timu zidhaminiwe na washindani wenzake Yaan Man Utd izidhamini Man City, Liverpool, Tottenham, southampton, hiyo haipo kabisa.
Hans Pope angesikaa kimya akiona mambo hayaendi sawa na timu inapoteza point kizembe.
Wanakwenda kutufunga tena mara ya 5 mfululizo nimekaa pale
Mmngoa jino wenyewe si mngeliwekea dawa kusiwe na pengiSiamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.
Hans Pope asingekubali ujinga huu, Hans Pope asingekubali timu zidhaminiwe na washindani wenzake Yaan Man Utd izidhamini Man City, Liverpool, Tottenham, southampton, hiyo haipo kabisa.
Hans Pope angesikaa kimya akiona mambo hayaendi sawa na timu inapoteza point kizembe.
Wanakwenda kutufunga tena mara ya 5 mfululizo nimekaa pale
ila azam kudhamini team zote ikiwemo ya MAKOLO haina shida??PUMBAF KABISA!HATA KUJENGA HOJA HAMJUIISiamini kama Yanga itaukosa ubingwa msimu huu, kuna mambo wenzetu wanashirikiana na mamlaka za soka bila sisi kukemea ama kuhoji, kwa mfano mechi ijayo ni Yanga vs Tabora kule Tabora lakini leo uwanja ule umepigwa stop wakat jana wamecheza na Dodoma Jiji.