Marehemu hataki kutulia inabidi Dereva na wananchi wamhimize atulie kwa vichapo

Marehemu hataki kutulia inabidi Dereva na wananchi wamhimize atulie kwa vichapo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,
Hivi hii kweli ni marehemu huwa anagoma au analeta shida kusafirishwa au kuzikwa eneo fulani eti hataki,
maana najua tayari ni mfu inawezekanaje?


 
Back
Top Bottom