Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
shemeji he is the marealle jamani.......haya basi ni ukoo wa chifu marealle
Kibo was kinda famous......
I never heard of him before....so I guess mimi mshamba kwa sababu sijui watu maarufu
shemeji usisahau ...birds of the same feathers........'
flock together.....so sisi wa matawi ya chini hatuwezi au ni vigumu kuwajua hao wa matawi ya juu....ooh well....such is life
hahaha shem eti matawi ya chini...
ukiwa na bahati kama mimi angalau utawasikia sikia japo bila kuwaona na kuwajua japo hawatakujua wala kuhusi u exist.......
RIP Kibo!!!
Sasa shem wangu wewe kuna watu wanaokujua ambao hata wewe huwajui....maana huo uzuri wako ulionao ni tosha kabisa kukufanya uwe celebrity....
Manake hata Kim Kadarshian na Rosa Acosta hawaoni ndani....kwa hiyo hao wa matawi ya juu lazima watakujua tu....you are a dime piece...endowed by the creator the most beautiful, scrumptuous, and delicious features that most wish they had......that body of yours is bazoonkadoodles for real....
HAHAAAAA...........!!!!
I had no choice but to laugh out loudly kwa kweli......duh!!! kweli beauty is in the eye of the beholder!!!
Shem...mbona kicheko kwa sauti kubwa hivyo....kulikoni? Kwani Rosa Acosta unamwona hahusiki?
hii yote kudhihirisha ulimbukeni wetu wa kuiga yasioyostahili. hao tunaojifanya tunawaiga maana wameendelea kwa mitizamo yetu, hawavai vimini wala hawajirembi sana misibani zaidi ya kuvaa nguo za heshima, mara nyingi suti nyeusi au magauni ya heshima meusi. watanzania kuamke, msibani utavaaje kama unaenda club, huo ni zaidi ya ulimbukeni na ushamba juu yake.Hapo kwenye red, NOTED WITH THANKS! I wish I were there kufurahia uumbaji.....!!! Fahari ya macho haifilisi duka. Ila tuache utani siku hizi misibani jamani mabinti wanakuja wameupara utadhani wanakwenda kwenye interview!!