Marehemu Kibo Marealle

Marehemu Kibo Marealle

shemeji he is the marealle jamani.......haya basi ni ukoo wa chifu marealle

Kibo was kinda famous......

I never heard of him before....so I guess mimi mshamba kwa sababu sijui watu maarufu
 
shemeji usisahau ...birds of the same feathers........'

flock together.....so sisi wa matawi ya chini hatuwezi au ni vigumu kuwajua hao wa matawi ya juu....ooh well....such is life
 
flock together.....so sisi wa matawi ya chini hatuwezi au ni vigumu kuwajua hao wa matawi ya juu....ooh well....such is life

hahaha shem eti matawi ya chini...
ukiwa na bahati kama mimi angalau utawasikia sikia japo bila kuwaona na kuwajua japo hawatakujua wala kuhusi u exist.......

RIP Kibo!!!
 
hahaha shem eti matawi ya chini...
ukiwa na bahati kama mimi angalau utawasikia sikia japo bila kuwaona na kuwajua japo hawatakujua wala kuhusi u exist.......

RIP Kibo!!!

Sasa shem wangu wewe kuna watu wanaokujua ambao hata wewe huwajui....maana huo uzuri wako ulionao ni tosha kabisa kukufanya uwe celebrity....

Manake hata Kim Kadarshian na Rosa Acosta hawaoni ndani....kwa hiyo hao wa matawi ya juu lazima watakujua tu....you are a dime piece...endowed by the creator the most beautiful, scrumptuous, and delicious features that most wish they had......that body of yours is bazoonkadoodles for real....
 
HAHAAAAA...........!!!!

I had no choice but to laugh out loudly kwa kweli......duh!!! kweli beauty is in the eye of the beholder!!!
 
HAHAAAAA...........!!!!

I had no choice but to laugh out loudly kwa kweli......duh!!! kweli beauty is in the eye of the beholder!!!

Shem...mbona kicheko kwa sauti kubwa hivyo....kulikoni? Kwani Rosa Acosta unamwona hahusiki?

rosaacosta.jpg
 
Shem...mbona kicheko kwa sauti kubwa hivyo....kulikoni? Kwani Rosa Acosta unamwona hahusiki?

rosaacosta.jpg

acha tu nicheke niongeze umri shem jamani.....

Rosa, aaah shen anahusu kabisa huyo
 
Hapo kwenye red, NOTED WITH THANKS! I wish I were there kufurahia uumbaji.....!!! Fahari ya macho haifilisi duka. Ila tuache utani siku hizi misibani jamani mabinti wanakuja wameupara utadhani wanakwenda kwenye interview!!
hii yote kudhihirisha ulimbukeni wetu wa kuiga yasioyostahili. hao tunaojifanya tunawaiga maana wameendelea kwa mitizamo yetu, hawavai vimini wala hawajirembi sana misibani zaidi ya kuvaa nguo za heshima, mara nyingi suti nyeusi au magauni ya heshima meusi. watanzania kuamke, msibani utavaaje kama unaenda club, huo ni zaidi ya ulimbukeni na ushamba juu yake.
 
KB alikuwa mtu wa watu na pia alikua mtoto watu. But that is the way life is, wengine wanaosimamisha bendera palipo wanachuki na ro ho mbaya na uchawi na ujambazi. Yeye yake alikuwa mtu mzuri wenye roho nzuri japokuwa alikua anapiga cocaina kimasta. Huwezi jua nini kilimpeleka huko na saa nyingine madawa huathiri moyo unaweza lala usiamke kama inavyosadikika. Yote maisha, and it is true the man had a magical smile. Its a shame he went but then what can anyone do. It is of little consequence.. RIP KB tunakumbuka enzi zako na Range yako mzee...1
 
Back
Top Bottom