Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko kigogo mwisho naelekea Muleba mabibo mwishomshana jr uko wapi
hahahah, tupia somo la nguvu kwenye mada tajwa tafadhariNiko kigogo mwisho naelekea Muleba mabibo mwisho
huyu mdau yeye anataka apewe sababu za kishirikina....lolKisayansi ni Muscles za orbitocularis Oculli zilifunguka.. Kama Mbuzi Tu Umeshamchinja Ila Muscles Zinacheza zikimalizia Uhai wake
Sehemu gani kaka...nipo JamboNiko kigogo mwisho naelekea Muleba mabibo mwisho
Njoo MulebaSehemu gani kaka...nipo Jambo
Baa au...nimepiga kaptula nyekunduNjoo Muleba
Poa hapo hapo niko kwa ndani upande wa kulia mwisho kabisaBaa au...nimepiga kaptula nyekundu
Mabibo mojaNjoo Muleba kama haupo mbali
Njoo W mbele ya reli nimeshabadili kiwanjaMabibo moja
Ni kweli kabisa. Kuna ndugu yangu mmoja alifariki kwa ajali ya pikipiki pale magomeni mapipa alikuwa kanyoa ndevu. Mwili wake tuliuhifadhi pale muhimbili hosp mimi nikiwepo. Siku ya kwenda kuuchukua kwa ajili ya kuaga na kuusafirisha kwenda mikoa ya kaskazini tulimkuta anafull ndevu jambo lililozua utata mkubwa mpaka mke wake alipokuja kuthibitisha kuwa ule mwili ni wa mumewe.Kwa kawaida wana sayansi wame prove kwamba binadamu anapo kufa/kufariki... Haimaanishi kwamba kwamba kila kitu katika mwili wake kina simama/kufa/kutokufanya kazi at Pa.. Ila kuna baadhi ya vitu huendelea kuishi huku vikifa pole pole. Mfano, kuna seli za mwili huendelea kuishi ndo maana marehemu kama alikufa akiwa amenyoa ndevu unaweza kushangaa baada ya siku 1au2 kukuta ndevu zimeota. Tena kuna ushahidi mwingine wana sayansi kwamba mtu akifa ndani ya dk15 akichezewa sehemu zake za siri (kwa wanaume) anaweza kutoa sperm hvyo anaweza kuzalisha
nahisi ni more spiritual, kuna mtoto alibusu mwili wa baba yake tukiwa tunauaga, na ghafla marehemu alitabasamu.
Poa hapo hapo niko kwa ndani upande wa kulia mwisho kabisa
Duu umenijuaje? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ndo wewe umekaa na huyo msichana hapo sasa hivi?!
Mchokozi...Ndo wewe umekaa na huyo msichana hapo sasa hivi?!
Good boy
Duu umenijuaje? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mchokozi...
Mbona sikumkuta msichana
Au unamzingua tu