Marehemu kutokwa na jasho !

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,624
Reaction score
1,934
Ndugu yangu alifariki baada ya kusumbuliwa na malaria na shinikizo la damu kwa muda mfupi. Daktari alithibitisha kuwa amefariki dunia na akaandika death certificate. Lakini cha kushangaza, wakati wa kuagwa na ndugu na marafiki nyumbani kwake,

Marehemu alikuwa anatokwa jasho usoni. Hii maana yake nini wajuzi ?
 
Mwambieni huyo marehemu asiwaletee nuksi. Afe kwa amani tu.
 
Kuna kifo cha moyo na kifo cha ubongo, au vyote viwili
 
Sijawahi shuhudia hiyo

Huyu atakuwa kashuhudia mwili uliotoka chumba cha kuhifadhia maiti...

Halafu angepata kunusa yale manukato nadhani ndio angechanganyikiwa zaidi maana angejua jasho la marehemu lina pafyumu...
 
Alizimia tu huyo!!,na kama alikufa basi atakuwa alikufa kwa malaria kali sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…