Marehemu kutokwa na jasho !

Marehemu kutokwa na jasho !

Nakumbuka nilipokuwa mdogo miaka 7 hivi kuna mzee jirani yetu alifariki, sasa wakati wa kuaga maiti tulìjichomeka kwa watu wazima mimi na wenzangu tukapata nafasi ya kuona sura ya mwisho, Maiti ilikuwa ina maji maji usoni basi tulipotaka nje tukaanza kuambiana kuwa maiti inatoka jasho usoni.
Nikaenda kuwaambia wazazi wangu, Baba na Mama ndio wakaniambia sio jasho ni barafu inayeyuka kwa sababu alikuwa kwenye freezer.
Kwa hiyo hiyo maiti ilikuwa ni barafu sio jasho.
 
huyo alichomwa sindano ya sumu angalia sana hospital hizo maana mimi mwenyewe yalishanikuta kuna madaktari wengine wakiona mgonjwa hawezi kupona wanamuondoa kiaina au kuna kamchezo ka mali

Ndg yangu acha uongo kabisa,Dr hawezi mmalizia mgonjwa kwa kimchoma sindano ya sumu!!

Labda mgonjwa awe na ugomvi na serikali,na mara nyingi wanakuuwa kwa njia nyingine and not sindano ya sumu!

Marehemu kutoa jasho jingi wakati wa kumuaga ni jambo la kawaida sana,kwa dsm hii na joto hili,maiti itoke mortuary,imefunikwa kwa jeneza bila sehemu ya hewa kwa nini maiti asitokwe na jasho!!
 
mimi mzazi wangu alikua mgonjwa baada ya kupelekwa hospital akafariki kesho yake na pale hakukua na friji ya kuhifadhia maiti hivyo alichomwa sindano tu na alikaa mpaka siku tatu tulipo mchukua kwenda kuzika lakini wakati wa kuaga maiti ikawa inavuja jasho
 
Jasho kabisa??!!!
 
Ndio maana dini nyingine haziruhusu hii mambo!!!
Mzazi wako muhifadhi Pampula jr
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi alichomwa akanusurika

Yupo jamaa alikaa ICU 12 days, unconscious, wakamtoa wakampeleka "odini" na kumdunga sindano ya sumu!
Jamaa akaamka na kuulizia matokeo ya NECTA
 
Yupo jamaa alikaa ICU 12 days, unconscious, wakamtoa wakampeleka "odini" na kumdunga sindano ya sumu!
Jamaa akaamka na kuulizia matokeo ya NECTA

Acha utoto. Peleka jukwaa la jokes huko.
 
Acha utoto. Peleka jukwaa la jokes huko.

HUYU ULIMUELEWA!

huyo alichomwa sindano ya sumu angalia sana hospital hizo maana mimi mwenyewe yalishanikuta kuna madaktari wengine wakiona mgonjwa hawezi kupona wanamuondoa kiaina au kuna kamchezo ka mali

Pole kwa kufiwa!
 
Mmezika gogo jamaa mwenyewe yukosehemu analima hilojasho analalamika shugulinzito alioikuta huko,,wenginewanalimishwa sasaasijui huyuu kwpewa diliganimpaka anatokajasho
 
Death is a failure of some cell n tissue of the body to function appropiately' sasa mkuu ni kwamba ukizima sio kwamba cell na tissue zote zinazima kwapamoja' nyingine zinazima mdogo mdogo mpaka zinapokosa mawasiliano kabisa na nyenzake
 
hujawah kuona na siku ukiona utasema maajabu uliwahi kuona au kusikia maiti kuvuja dam siku nzima

Mimi nadhani hili suala la kisayansi zaidi, halina uhusiana na mambo ya kishirikina. mtu anapokufa haimaanishi mwili unakauka, inategemea na aina ya kifo. kwa hiyo mwili unaweza kuendelea taratibu kumalizia process zake ila mtu anakuwa ashakufa. hujakuona ukimchinja kuku vibaya ukamuweka bila kumnyonyoa anaendelea kuvuja damu hata lisaa lizima????????
 
Back
Top Bottom