Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Sasa ndugu, na wewe uliondolewa kwa sindano ya sumu?
Alipelekwa mzima mzima kwenye jokofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndugu, na wewe uliondolewa kwa sindano ya sumu?
huyo alichomwa sindano ya sumu angalia sana hospital hizo maana mimi mwenyewe yalishanikuta kuna madaktari wengine wakiona mgonjwa hawezi kupona wanamuondoa kiaina au kuna kamchezo ka mali
mimi mzazi wangu alikua mgonjwa baada ya kupelekwa hospital akafariki kesho yake na pale hakukua na friji ya kuhifadhia maiti hivyo alichomwa sindano tu na alikaa mpaka siku tatu tulipo mchukua kwenda kuzika lakini wakati wa kuaga maiti ikawa inavuja jasho
Duuuuh!umenifanya niogope
Kabla ya kumuaga mlimuweka mochwari?
kwi kwi alichomwa akanusurika
Acha utoto. Peleka jukwaa la jokes huko.
Kama mlimuweka mochwali basi baridi inayeyuka kama vile unavyotoa soda kwenye friji ikikaa baada ya muda inatoa jasho
hujawah kuona na siku ukiona utasema maajabu uliwahi kuona au kusikia maiti kuvuja dam siku nzima