Marehemu Rais Karume ndiye aliyejenga majengo ya Simba na Yanga na kuipa jina Simba

Marehemu Rais Karume ndiye aliyejenga majengo ya Simba na Yanga na kuipa jina Simba

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Marehemu Rais Karume alikuwa mtu wa muungano kweli.Yeye alikuwa ni Yanga na ndiye aliyejenga lile jengo la makao makuu ya Yanga.

Lakini pia yeye ndiye aliyejenga lile jengo la makao makuu ya klabu ya Simba.Pia ndiye aliyewapa jina la SIMBA timu ya Simba ilipobadilisha jina lake kutoka jina la Sunderland.Walipotaka kubadilisha jina walimuuliza hivi tujiiteje akawaambia jiiteni SIMBA.
 
kwa hiyo hati za majengo yale ziko kwa jina la timu au KARUME.......?
 
Duh! Kumbe mh. Karume alifanya ufadhili mzuri kiasi hiki.
Ni Uzalendo mzuri.
 
Duh! Kumbe mh. Karume alifanya ufadhili mzuri kiasi hiki.
Ni Uzalendo mzuri.
Ila angalia, hatufahamu alifadhili mwaka gani, but chukulia ni miaka 44 tangu huyu Babu yetu afariki hawa jamaa zetu "yanga na simba" hawana cha maana walichofanya baada ya ufadhali wa huyu mzee. Kweli hatuna vision aibu sana - kama wafu wangekuwa wanarudi baada ya muda fulani naamini mzee Karume angewachoma majambia hawa jamaa wa Yanga na Simba
 
Ni kweli kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mzee Karume alikuwa mwana michezo wa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Back
Top Bottom