YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Marehemu Rais Karume alikuwa mtu wa muungano kweli.Yeye alikuwa ni Yanga na ndiye aliyejenga lile jengo la makao makuu ya Yanga.
Lakini pia yeye ndiye aliyejenga lile jengo la makao makuu ya klabu ya Simba.Pia ndiye aliyewapa jina la SIMBA timu ya Simba ilipobadilisha jina lake kutoka jina la Sunderland.Walipotaka kubadilisha jina walimuuliza hivi tujiiteje akawaambia jiiteni SIMBA.