Ila angalia, hatufahamu alifadhili mwaka gani, but chukulia ni miaka 44 tangu huyu Babu yetu afariki hawa jamaa zetu "yanga na simba" hawana cha maana walichofanya baada ya ufadhali wa huyu mzee. Kweli hatuna vision aibu sana - kama wafu wangekuwa wanarudi baada ya muda fulani naamini mzee Karume angewachoma majambia hawa jamaa wa Yanga na SimbaDuh! Kumbe mh. Karume alifanya ufadhili mzuri kiasi hiki.
Ni Uzalendo mzuri.
Ni kweli kabisa.Ila angalia, hatufahamu alifadhili mwaka gani, but chukulia ni miaka 44 tangu huyu Babu yetu afariki hawa jamaa zetu "yanga na simba" hawana cha maana walichofanya baada ya ufadhali wa huyu mzee. Kweli hatuna vision aibu sana - kama wafu wangekuwa wanarudi baada ya muda fulani naamini mzee Karume angewachoma majambia hawa jamaa wa Yanga na Simba