[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi napenda sana mziki wa zamani maprodyuza pia nilikua nawajua kiasiWe binti wewe uko informed ba mambo ya mziki deeply ebu nipe siri ya kuwa informed maana madada wengi wanajua waimbaji siyo waandaaji labda wawe WCB
[emoji2] [emoji2] adam alisumbua sana enzi hizo!ht ile ice cream yaani the way ilivyo nlikua nashangaa shangaa tu!Uko vizuri, basi eti nikawa nashangaa Adam alivyoweka blu na snalee wanaonekana wengi yani nikawa naona ile video level ya akina ja rule
Yupo kwani aliyetengeneza mabundi si akili?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mi napenda sana mziki wa zamani maprodyuza pia nilikua nawajua kiasi
Mwingine akili the brain sijui kafia wapi!
Hahaha eti anaweka gari tunaona kama mbele dah jamani, salama ndiye alianza nifanya nianze ona makosa kwenye video bwana[emoji2] [emoji2] adam alisumbua sana enzi hizo!ht ile ice cream yaani the way ilivyo nlikua nashangaa shangaa tu!
Ila Adam amefanya kazi kubwa kwenye videoHahaha na nokia ringo.
Kipindi nisher kashika kila video adam anaikosoa facebook, hadi nisher akamaindi akamwambia awe basi anamwambia inbox maana ni too much.
Adam akawa anaandika kama vile anawasema madirector wapya kuwa hajaamua akiamua anaweza fanya kitu wasichoweza fanya.
Kila siku anapost ka analalamika, mara linex naye akamzngua kuwa kamwaribia video ya wimbo wake ule alioimba na diamond wakati yeye ndiye msanii ambaye aliwahi mlipa ela nyingi kwa video eti akawa anadai amempa milion saba.
Ndipo nikagundua wasanii uwa waongo maana walikuwa wakiulizwa video anakwambia zaidi ya milion kumi kumbe linex milion saba ndo kalipa nyng kuliko wote kipindi kile.
Hata mimi linex nilimshangaa maana inaelekea ye na adam walikuwa wana sana hadi kuna kipindi adam alimwambia linex alete wimbo amtengeneze video bure.Ila Adam amefanya kazi kubwa kwenye video
Linex msanii tu yule
Yupo kwani aliyetengeneza mabundi si akili?
Enzi za regina sema mimi napenda zaidi bongo bangla.
Enzi za steve 2k (RIP)
Nakumbuka 2berry walipotoka walitisha na shirko alikuwa anachana ka sean paul sema beat zake ziliko zafanana
Yaap!Salama ana mchango mkubwa mnoo kwwnye mziki wetu japo alikua anampenda sana bluu hamkosoi ht siku moja daily anamsifiaHahaha eti anaweka gari tunaona kama mbele dah jamani, salama ndiye alianza nifanya nianze ona makosa kwenye video bwana
Castro ndiye alimuua steve 2k bwanake joan.Mi Regina nlikua naipenda haswa!
Steve 2k yule mshikaji aliyemuua(Castro) hivi ashatoka jela?
Enzi zile ray c ndo queen wa bongo fleva alitiwa makofi na kajala siku moja baada ya kuskia anatoka nae
Halafu Amit nae kamla ray c
Salama akimpenda mtu uwa hamkosoi.Yaap!Salama ana mchango mkubwa mnoo kwwnye mziki wetu japo alikua anampenda sana bluu hamkosoi ht siku moja daily anamsifia
hataki kuwekeza,ana camera lake red old version hadi Sunday mjeda kamkimbiaEnzi hizo zeze inatamba kutoka 2eyes[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Adam wa visual lab kafia wapi jamani maana ndiyo aliyeleta mapinduzi kwenye video Tzz
Vifaa mbona watu wanakodi pale wanene wana mavifaa ya kila ainahataki kuwekeza,ana camera lake red old version hadi Sunday mjeda kamkimbia
Kumbe? Basi ndiyo maana 20% alikuwa analalamikaIla Roy alikuwa mswahili sana nahisi kuzid producers wenzake kipindi hicho. Jamaa alikuwa anazungusha sana mpaka msanii apewe kazi yake ni shida. Haf alikuwa mlevi sana. Na saa zngine ilikuwa zali kwa msanii akimkuta jamaa studio kama ameenda na mabapa ya konyagi basi kazi iliweza kufanyika muda huohuo.
Duh humfahamu Roy...ina maana Bongo fleva mmeanza kuisikiliza kipindi cha akina Diamond na Bob Junior??Mimi mwenyewe natoa mimacho hata simuelewi. Alikufa kwa ugonjwa au ajali?
Hizo cinderela, nakshi ni kgt cyo RoyNlikua sijui basi kama ni hivyo jamaa namnyanyulia
Nlikua sijui basi kama ni hivyo jamaa namnyanyulia mikono [emoji119]
'Wacha party ianze' snop Lee kapotezwa humo na dully hatari. Mwenye huo wimbo aurushe humumic nataka snop lee na heshima nazitaka snop lee fanya fasta blu shika mic
dah!
GOLDEN AGE HII
Anaitwa 'NANI'Hakika mkuu kwa post hii umeusuuza moyo wangu nlikua naitafuta sana hii nyimbo dah .aliye imba ni nani mkuu?tuanzie hapo kwanza.
Utamjua tu mkuu jitahidi kusoma post after post....au utakua wewe sio mhengaMkuu Roy ni nani...wengine tuliingia mjini kwa mbio za mwenge kwa kuchelewa.