Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Juzi nlkua nasikiliza nyimbo ya ice-cream ya noorah nkaona ubora wake marehemu roy, apumzke kwa Amani
 
Mkuu Roy ni nani...wengine tuliingia mjini kwa mbio za mwenge kwa kuchelewa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] alikua producer anaitwa Roy bukuku amefariki katengeneza hit songa nyingi way back haswa za blue na enika
Pole ngosha
 
Jamaaa kipindi hicho nilikuwa namuona ye na blu bongo bahati mbaya.
Enzi za visual lab na ile video ya snalee ft blu- microphone nadaka
Snalee
microphone nadaka snoope lee
Na chapaa nakamata snoop Lee
Naheshima nazisaka snoop lee
 
Snalee
microphone nadaka snoope lee
Na chapaa nakamata snoop Lee
Naheshima nazisaka snoop lee
Uko vizuri, basi eti nikawa nashangaa Adam alivyoweka blu na snalee wanaonekana wengi yani nikawa naona ile video level ya akina ja rule
 
Game imechange sana kuanzia aina ya unaji studio za mziki mpaka videos.
Visual lab kapotea, nisher naye chalii, akina epidu walishawapoteza empty soulz, 2eyes, mwananchi production, benchmark production tayari
Enzi hizo zeze inatamba kutoka 2eyes[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Adam wa visual lab kafia wapi jamani maana ndiyo aliyeleta mapinduzi kwenye video Tzz
 
Enzi hizo zeze inatamba kutoka 2eyes[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Adam wa visual lab kafia wapi jamani maana ndiyo aliyeleta mapinduzi kwenye video Tzz
Dah eti walivyokuwa tid na moe wamevaa na ribon zao nilikuwa nawaona ka mbele over sisqo, ukinix na kushake dah.
Adam kuna kipindi alikuwa kama ana stress
 
Dah eti walivyokuwa tid na moe wamevaa na ribon zao nilikuwa nawaona ka mbele over sisqo, ukinix na kushake dah.
Adam kuna kipindi alikuwa kama ana stress
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wamening'iniza Nokia jeneza zao shingoni

Adam visual kwa nini sasa?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wamening'iniza Nokia jeneza zao shingoni

Adam visual kwa nini sasa?
Hahaha na nokia ringo.
Kipindi nisher kashika kila video adam anaikosoa facebook, hadi nisher akamaindi akamwambia awe basi anamwambia inbox maana ni too much.
Adam akawa anaandika kama vile anawasema madirector wapya kuwa hajaamua akiamua anaweza fanya kitu wasichoweza fanya.
Kila siku anapost ka analalamika, mara linex naye akamzngua kuwa kamwaribia video ya wimbo wake ule alioimba na diamond wakati yeye ndiye msanii ambaye aliwahi mlipa ela nyingi kwa video eti akawa anadai amempa milion saba.
Ndipo nikagundua wasanii uwa waongo maana walikuwa wakiulizwa video anakwambia zaidi ya milion kumi kumbe linex milion saba ndo kalipa nyng kuliko wote kipindi kile.
 
Back
Top Bottom