Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

kweli mkuu,jamaa alifanyia kweli makubwa india ila ukiwa uliza wale wahindi weusi watakupa ukweli jinsi alivyowatenga na kuwabangua
Nilisikia alianzisha chama chake cha Harijan_cha wale 'wasiopaswa kuguswa'

Inafananaje hii na shutuma zenu kwake ikiwa inasemekana sababu za yeye pia kuwa na mtazamo wa kudai uhuru ulitokana na yeye kuwahi kubaguliwa....!?
 

Unaposema umetoa ushahidi Wa Kisayansi kuhusu Korani unamaanisha kwamba umetoa methodolojia za kisayansi ambazo MTU yeyote na popote pale anaweza kuzitumia kupata matokeo Yale Yale kwamba Korani ni halali? Kama ni kinyume cha ukweli huo basi tafuta ushahidi mwingine.
 


1. Nini maana ya follower, Mkuu?

2. Ni kuwa na damu sawa na ya unayemhusudu? Hivi, Wewe umeshafanya utafiti na kugundua kuwa Mandela hana followers wanaofikia idadi kama ya hao wanaom-follower Muhammad?

3. Tueleze ni mambo gani spesheli yanaweza kumtoa Muhammad kwenye kundi moja na Mandela. Kama ni idadi ya Followers, Papa Fransco anaongeza watu 2.28 billions,je naye tumuite Mtume?
 
Kwa hawa jamaa wakina KOMANDO, MZEE WA UPAKO, MWINGIRA wote ni mitume! Tafsiri ya wakristo UTUME inaweza ikawa rahisi kuupata kuliko UASKOFU!

Hata tasfiri ya 'mungu' haiko serious sana kwa hawa ndugu!
WAna Mungu wao, wanamwita mungu mwana.Ijapo kuwa yeye mwenyewe alishakataa kuitwa mungu, na wala hakuwahi kujifananisha na mungu. Akili za watu wengine kweli tatizo.
 
Mleta mada mbona Paulo hayupo kwenye list?nadhani angekuwepo kwenye list maana kisa chake cha kutoka kuwa muuaji wa wanafunzi wa Yesu hadi leo kuwa na cheo cha utume ana nafasi kubwa kwenye ukristo,nafikiri kuna mengi pia tungejifunza.

Kuua ni dhambi tu kama dhambi zingine. Ni sawa na kuzini,kuiba au kusema uongo na pengine kutega wajibu Fulani. Hapa duniani hakuna msafi na hivi Mungu ni lazima atumie hao hao wadhambi kwa ajili ya wadhambi wenzao. Jielekeze kutoa ushahidi Wa jinsi Muhammad anavyoweza kutowekwa kundi moja na hao wengine.
 
Nitakujibu kwa mara ya mwisho.
1. Mimi ni muislam na nashuhudia kuwa hakuna apaswaye kuabudiwa kwa haki ila Allah Muumbaji na MUHAMMAD (SAW) ni MTUME wa ALLAH..........Huo ndio ufuasi ninakusudia. Nani anashuhudia hivyo Kwa Mandela na Mahtma?
2. Mandela hana wafuasi zaidi ya wafuasi wa Kagame ..hao ndio daraja lake
3. Saa hao 2.28 B followers ni wafuasi wa Francis, Paul au Jesus? Shirikisha ubongo acha mihemko!
 
Naomba nikujibu kwa niana ya unayemuuliza.
1. KAma hujui maana ya ''follower'', wewe ni kanjanja

2. 1Mwezi ulishuka na kumshuhudia Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) kuwa ni Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) wa Allah

2.2 Mnyama Paa aliwahi kuzungumza na Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akimuomba amuombee ruhusa kwa bedui aliyemkamata ili akanyonyeshe watoto wake porini.

SOMA MIUJIZA ZAIDI KUTOKA KWENYE KITABU NILICHOKUWEKEA.
 

Attachments

ili waendeele kuwadharau watu weusi mabao wanawaua na kuwaona kama wadudu?
Tatizo mnarahisisha sana taarifa

Kujitenga kitabaka hakujaanza katika kipindi cha Mahatma Gandhi

Imani za kihindu na mapokeo yake ndiyo yaliyosababisha mpasuko huo wa kitabaka na kuwa chanzo cha manyanyaso

Walikuwepo wale weupe weupe waliojiita wa Brahmanas wa Vaisya na Wa Sudra Weusi Tii wa tabaka la mwisho la watu wa kazi ngumu walio mbali kwa ukaribu na Miungu kiufupi wenye Laana

Na ndio hao wa kundi la mwisho la wasiopaswa kuguswa (sudra) aliowatumia Mahatma Gandhi kama kiki yake kisiasa

Nyie mnasema aliwatenga vipi tena....!?
 
Kwa mujibu wa dini ya kiislam unaruhusiwa kukashfu kadiri uwezavyo. Nadhani unaweza fatilia baadhi ya waliokashfu wameishia wapi kwa hii karne tuliopo. Wengi wanashangaa mbumbu asiyejua kusoma alivyotuachia urithi wa kudumu. Mohammed The Last Prophet of our Time. Tafuta hichi kitabu ukisome ingawa hakijaandikwa na muislam
 
Miracle hunter humu huwezi kupata majibu to that extent, jaribu kusoma Sila Ya Mtume Muhammad pamoja na Tarekh (it's not one day study)
 

1. Wewe huna mamlaka ya kushuhudia Utume Wa Muhammad. Mwenye mamlaka na ambaye ushuhuda wake unakubalika ni Mungu. Sio wewe wala Muhammad Mwenye authority ya ushuhuda.

2. Toa takwimu kwamba Mandela hana wafuasi. Usitumie hisia badala ya akili na mantiki.
 
Soma Sila ya Mtume Mohammad kikamilifu.
 
Miracle hunter humu huwezi kupata majibu to that extent, jaribu kusoma Sila Ya Mtume Muhammad pamoja na Tarekh (it's not one day study)

Kwa maelezo haya ina maana wewe hizo rejea unazonipatia mimi umezisoma. Kwa nini usizitumie kujibu hoja za mjadala huu?
 
Mie hajawahi kunitenga na wala simfahamu. Wao aliowatenga ndio wanaolalamika. Na madhara yake yapo mpaka leo hii, wahindi weusi ni wa maana dhidi ya wahindi weupe. POPOTE PALE WALIPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…