ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,750
- 1,864
Nilisikia alianzisha chama chake cha Harijan_cha wale 'wasiopaswa kuguswa'kweli mkuu,jamaa alifanyia kweli makubwa india ila ukiwa uliza wale wahindi weusi watakupa ukweli jinsi alivyowatenga na kuwabangua
Inafananaje hii na shutuma zenu kwake ikiwa inasemekana sababu za yeye pia kuwa na mtazamo wa kudai uhuru ulitokana na yeye kuwahi kubaguliwa....!?