Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Kama kweli Mihammad alifanyika mtume kupitia Padri wa kanisa katoliki(Waraqah)Na mtawa wa kanisa katoliki (Khadijah).Naanza kuamini vitu viwili;
Kwanza ile story ya Alberto Rivera kuhusu uislamu kuasisiwa na majesuit
Pili,quran ni total pragialism na fabrication ya bible katika sense ya kwamba hata hiyo inayoitwa miujiza ni coding za jesuits.Refer Da vinci codes na yafananayo na hayo.
Tatu ni umuhimu wa mji wa Jerusalem na namna ambayo muhammad aliufanya uwe mtakatifu uoanishe na lengo la kuanzisha uislam na vatican
 
Sory mkuu ivi Muhammad anasifa zozote kumzidi nabii isa au yesu.
 
Mkuu unaweza kulaumu kwamba wakritu tuna vichwa vigumu kuelewa hata sis tunawaona ninyi hivyo. Mfano 'MALAIKA GABLIeli alivyo mkaba Muhammad kulazimisha asome .

1. Yeye hajaelewa kwamba hadi Malaika afikie kumbangua Muhammad makofi (kama ni kweli alikuwa malaika) ni kwa sababu aligundua kuwa Muhammad ana Kichwa cha Nazi. Haiwezekani maneno machache tu hivyo halafu ashindwe kuyarudia kuyatamka. Tena tunaambiwa malaika alikuwa anaongea Kiarabu,Lugha ambayo ndiyo Muhammad alikuwa anaimudu.

2. Hivi kama leo watoto Wa Umri Mdogo Wa kiislamu wanakariri karibu Kurani nzima yeye Muhammad alishindwa nini kukariri vimaneno vichache hivyo? Je,hiii haionyeshi kwamba yeye ndiye amekuwa "mtume" Wa kwanza na Wa mwisho kwa kuwa na akili ndogo kabisa kuwahi kutokea?

3. Je,kama inavyosemwa kwamba Mungu alimfanya Muhammad mtume Wa mwisho, ni kwa akili kiduchu kama hivyo amefanywa mtume Wa mwisho?

4. Je,kama Mungu hakujali akili kidogo za Muhammad, ni kwa nini hadi leo hajaonesha kwamba Yeye Mungu anaweza kufanya lolote hata kwa kufanya mafundisho yake Muhammad yaeleweke kwa watu wwnye akili kubwa?
 
Kasome upya Uzi huu. Waraqah alishafukuzwa kwenye Upadri Wa Kikatoliki wakati anampigia Muhammad ramli ya utume. Kwa hiyo usije hapa kuunganisha dots ambazo hazipo.
 
Mkuu unaonekana unajua mengi.Ujio wa mitume ulikuwa unatabiliwa je kwenye kurwan Kuna details zozote juu ya ujio muhamad.

Haelewi isipokuwa amekaririshwa. Linapokuja suala la Muhammad kutabiriwa kama mtume huwa wanatumia Biblia,Agano la Kale na Jipya. Wakimaliza kufanya hivyo,wanaitumia Kurani kuikataa Biblia kumshuhudia Yesu kama Mungu na Mwana wa Mungu.
 
Wakati mwingine hadithi hizi zinachekesha sana. Swala akaomba kwenda kunyonyesha? Hahahahaaaaaa....
 
Nakunukuu:
"Ni mambo gani ya kipekee ambayo Muhammad kabla ya kifo chake alipata kuifanyia ardhi ya Arabia ambayo leo yanamfanya aikwae hadhi ya Kinabii sawa na Yesu Kristu?"

Kwa maswali kama hayo si mbaya tukataka kujua kuhusu Paulo nae ni yapi aliyoyafanya hadi akadai ametokewa na Yesu?na ana cheo cha utume na ni mtu muhimu katika ukristo tunaouona.

Kwa mtazamo wangu Paulo ni mfano mzuri katika huu mjadala.
 
Paulo alikuwa anaua wakristu kabla ya kuwa Mtume. Muhammad hakuwa anaua watu kabla ya kuwa "Mtume" lakini baada ya kuwa mtume akaanza kuuawa watu. Umeelewa sasa jinsi Wawili hao wasivyoweza kulinganishwa?
 
Ndio maana nikataka awekwe kwenye list ili wadau wachangie najua kuna mengi ya kujadili,sijataka Paulo awekwe kwenye list kwa sababu tu ya kuua maana hata Musa na wengineo waliua sana tu na pamoja na utume wao hivyo kuua sio point muhimu.
 
Josephus,Myahudi yupi? Myahudi mkana Ukristo au Myahudi Mkristu?

1. Je,wewe leo unaweza kuandika miujiza ya Yesu?

2. Unaweza kuandika wasifu Wa Yesu kama Mwana Wa Mung na kwamba ni Mungu? Kama huwezi sababu itakayokufanya hivyo ndo hiyo hiyo iliyomfanya Josephus asifanye hivyo kadri ulivyotujuza.
 
Toa Nelson Mandela hajawafanyia chochote wa Afrika Kusini weusi usiamini propaganda za wazungu , mtoa post.
 
....Aliyesulubiwa amelaaniwa. ...

Ni afadhali kupigwa na wanadamu wenzio. Yesu alikuwa Mungu na Mwanadamu. Mwanadamu aliyepigwa na mjumbe Wa Mungu pangoni yeye atakuwa amelaaniwa kuliko mwanadamu yeyote yule. Ni yeye Wa kwanza kupigwa na Mungu na Wa mwisho pia.
 
Nacheka sana. Sasa wapi amedhalilishwa ?

Hizo ni hatua za maandalizi. Kwanza umeelewa nilichokiandika ?

Unajua ni lini mtume alipewa utume ?

Na kwa nini alimchagua Muhammad kuwa mjumbe wake ? Tena mjumbe asiye jua kusoma wala kuandika ?

Lakini je hujui nini kilichofata baada ya mtume kufanya hima na juhudi ya kuhifadhi aya alizokuwa analetewa na malaika Jibril mwenye kuheshimiwa ? Allah alimwambia hakika atadhibiti aya zake kifuani mwake na wala hatasahau.

Ukipenda kuuliza maswali lazima upende kujibu maswalo pia.

Kila mtume alikuwa anapewa utume kulingana na hali yake. Na Allah angetaka angefanya hivyo tena kwa muda mchache na kwa ufanisi zaidi.
 
Mkuu unaonekana unajua mengi.Ujio wa mitume ulikuwa unatabiliwa je kwenye kurwan Kuna details zozote juu ya ujio muhamad.

Kila kitu kimo wewe soma utakuta habari zake na si kwenye Qur'an tu mpaka kwenye Taurati na Injili.

Hao unao wasikia wakina Waraqah bin Nawfal ibn Abdul 'Uzza al Qurash al Asad hawakuwa Waislam bali walikuwa watu wa kitabu waliyoyadhibiti mafundisho ya kwenye Injili vilivyo na ndio maana wakawa wanajua ishara za utume,bali mpaka yule Bahira,je unafikiri alioteshwa ? La hasha,bali ni elimu walizo kuwa nazo katika vitabu vyao.
 
Kama kweli Mihammad alifanyika mtume kupitia Padri wa kanisa katoliki(Waraqah)Na mtawa wa kanisa katoliki (Khadijah).Naanza kuamini vitu viwili;
Kwanza ile story ya Alberto Rivera kuhusu uislamu kuasisiwa na majesuit

Nikiri Kwa kipengele hiki cha kwanza kwangu ni habari ngeni. Yaani ni mpya na ni uzushi.

Lkn kama una hakika ya hicho ukisemacho nipatie dalili kutoka katka kitabu kisicho na shaka ndani Yake nani Mwongozo pekee sahihi na wa mwisho wa MwenyeziMungu yaani Qur'an.

Pili,quran ni total pragialism na fabrication ya bible katika sense ya kwamba hata hiyo inayoitwa miujiza ni coding za jesuits.Refer Da vinci codes na yafananayo na hayo.

Hapa naomba niweke sawa jambo moja, usifananishe Quran na bibilia, ukisema Quran imekopi kutoka kwa Taurat, zaburi na injili nitakukubalia kwa shingo upande na kabla kwa kukuonea huruma. Kwani ukweli Quran imekuja kukamilisha kutoka ktk vitabu vilivyotangukia.

Ndio maana tunahoji,
Taurati -Mussa
Zaburi - Saudi
Injili - Yesu
Quran - Muhammad.
Je bibilia imekabidhiwa kwa mtume gani, jibu jepesi ni fabricated huko antiokia italy.

Tatu ni umuhimu wa mji wa Jerusalem na namna ambayo muhammad aliufanya uwe mtakatifu uoanishe na lengo la kuanzisha uislam na vatican
Sijakuelewa, hata hivyo imani ya kiislam ni kuwa uislam haukuanza kwa Muhammad Bali yeye kaja kutimiliza.

Uislam ulianzia kwa adam , Nuhu, Suleiman , Ibrahim, ishaka, yakubu, na wote wengine hadi ukafika Kwa Issa (Yesu) ndio ukaishia kwa Muhammad (SAW)

Ndio maana utaona Quran inafanana sana na maandiko ya vitabu vya mungu vilivyotangulia, na inatofautiana n kitabu cha mwanafalsafa wa dini naemyheshimu Professor Paul.

Need u say more
 
Ni afadhali kupigwa na wanadamu wenzio. Yesu alikuwa Mungu na Mwanadamu. Mwanadamu aliyepigwa na mjumbe Wa Mungu pangoni yeye atakuwa amelaaniwa kuliko mwanadamu yeyote yule. Ni yeye Wa kwanza kupigwa na Mungu na Wa mwisho pia.

Ila kaka una hoja za kitoto sana. Hivi unajua kwamba mpaka sasa hujabatilisha utume wa Muhammad ?
 
"Sasa wapi amedhalilishwa ?"

Wewe huoni kwamba Muhammad alidhalilishwa? Mtu mzima na watoto waliokuwa wanamtegemea baba yao kama mlinzi Wa familia walijisikiaje kumuona Baba yao amerudi huku amelowa jasho chapachapwa?
 
Naona unakwepa swali. Hujaonyesha amedhalilishwa wapi na kivipi ?

Na je jalia kama ingekuwa kweli amedhalilishwa,je una uhakika gani kama watoto wake walimuona alipoingia nyumbani kwake ?

Je kutokwa jasho ni udhalili ?

Huku tunapoelekea itabidi tuanze kuelekezana namna ya kujibu hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…