Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

kuna mahala unawashwa,si bure.

Tatizo ni aliyekurithisha tabia ya kukabili mambo ya akili kwa maguvu. Na nadhani unamfahamu. Ni yeye aliyekudanganyeni kwamba Mungu hutumia maguvu kwa mambo yenye akili.
 
Tatizo ni aliyekurithisha tabia ya kukabili mambo ya akili kwa maguvu. Na nadhani unamfahamu. Ni yeye aliyekudanganyeni kwamba Mungu hutumia maguvu kwa mambo yenye akili.
Acha uongo na hila hata Yesu kawai kuua tena sana tu
 
hebu weka aya muhammad kakabwa..isije ikawa ni historia za TANU,uhuru na nyerere
 
Tatizo ni aliyekurithisha tabia ya kukabili mambo ya akili kwa maguvu. Na nadhani unamfahamu. Ni yeye aliyekudanganyeni kwamba Mungu hutumia maguvu kwa mambo yenye akili.
ahsante kwa kuthubutishia umma uzandiki na muwasho wako.
 
Tatizo ni aliyekurithisha tabia ya kukabili mambo ya akili kwa maguvu. Na nadhani unamfahamu. Ni yeye aliyekudanganyeni kwamba Mungu hutumia maguvu kwa mambo yenye akili.
mungu alipopiga mvua kwa nuhu haikua maguvu!?,alipowanyoosha sodoma na gomora hakutumia maguvu!?..au mungu kwenu yesu!?..kama ndiyo alitumia nini pale alipopindua meza hekaluni kwa kuchukizwa watu kufanya biashara nyumba takatifu!?..tatizo lenu akili ndogo,mnasahau kwa kuwa imani kwenu ni kwenda kinyume na waislam
 
Tena toa hiyo title ya Mungu weka Yesu kwakuwa ndio Mungu wake

Halafu tumuulize _"kwanini Mungu Yesu alimuamuru Yoshua na jeshi lake kufyekelea mbali kizazi karibia chote cha kanan mpaka na kuku kwani walimkosea nini..!?"

Halafu aone ajabu kwa Muhamad wakati alikua anakubali maridhiano pale inapobidi.!
 
Nakubaliana na wewe na ndio maana tunahoji mazingira anamodai Muhammad kupewa utume hayashawishi hata kidogo. Kuwepo kwake kule pangoni pekee na kwenda kwa kasisi Waraqah hakutoshi Kutusadikisha kwamba Mungu aligawa utume katika tukio lile.
 
Sasa mkuu mbona hautaki kumjadili Paulo ambaye nae anadai alitokewa na Yesu?
 
Kweli kabisa hata ziwa Victoria liligunduliwa na mzungu
 
Thread moja maswali 21.? mkuu jifunze upya uhandishi , ila kwa kukusaidia ni kwamba hao wote uliowataja hakuna aliedai kupata WAHYI (UFUNUO) hivyo hawana ubavu wa kukaa siti moja na mtukufu wa darja ( nabii Mohamadi s.a.w)
 
Tatizo ni aliyekurithisha tabia ya kukabili mambo ya akili kwa maguvu. Na nadhani unamfahamu. Ni yeye aliyekudanganyeni kwamba Mungu hutumia maguvu kwa mambo yenye akili.
Umeisoma biblia vizuri ? mbona unabahatisha sana mkuu , Mungu ndio mtumiaji mkubwa wa NGUVU
 
So.many things to say bro!
Kasome upya Uzi huu. Waraqah alishafukuzwa kwenye Upadri Wa Kikatoliki wakati anampigia Muhammad ramli ya utume. Kwa hiyo usije hapa kuunganisha dots ambazo hazipo.
Na kama ilikuwa ni Jesuit scheme kuwahadaa waarabu na mtume wao ambaye hakuwa na elimu?kuna manuscripts
 
So.many things to say bro!
Na kama ilikuwa ni Jesuit scheme kuwahadaa waarabu na mtume wao ambaye hakuwa na elimu?kuna manuscripts za quran vatican ambazo zinadate back miaka mingi kabla Muhammad hajazaliwa
.
Umetaja baadhi ya vitabu vilivyo kwenye biblia ukasahau kuwa bible imekuwa compiled kabla hata ya Muhammad hajazaliwa.Yaani mshauri wa Muhammad kiroho Padre Waraqah alisoma biblia bila kuacha kitabu hata kimoja.
Hicho kitabu kisicho na shaka una maana gani?Manake kuna numerical errors,historical as well as geographical errors ndo maana bila kurefer bible kinapwaya
 
Alidai Malaika alimpiga sana kwa kushindwa kuelewa maelekezo aliyokuwa anapewa hapo pangoni.
Mbona ili jambo la kawaida sana , musa alitokewa kwa namna yake hata Ibrahim alitokewa kwa namna yake hakuna ulazima kufafana kwenye tukio hilo adhwimu la kwanza kutokewa
 
Nimekujibu kwa ufupi na ufasaha mandela hajapewa WAHYI( UFUNUO) kwa hiyo hawezi kuwa mtume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…