Marejeo ya Simba na Al Ahly Tripoli dimba la Benjamin Mkapa

Je, Simba anaweza kumfunga AA Tripoli kwa Mkapa?

Simba SC Tanzania inarejea Lupasa kwa Mkapa ikiwa inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi michuao ya Klabu Bingwa Afrika huku wengi wakiwa na matumaini kuwa inaweza ikafanya hivyo bila ubishi kutokana na rekodi yake katika uwanja huo.

Timu nyingi kubwa zikija kucheza na Simba SC Tanzania zimekuwa zikishindwa kupata matokeo hapo na hiii ndio jeuri ya mashabiki wengi wa klabu hiyo kuelekea mchezo huo.

Ni wazi kuwa kuna makosa mengi yamefanya na Simba SC Tanzania wakiwa katika mechi yao ugenini hasa kupoteza nafasi walizotengeneza kipindi cha kwanza na muda mwingi kupoteza mipira (kukosa umakini), haya ni makosa ambayo hawapaswi kuyarudia mchezo ujao wakiwa nyumbani

Historia ya wao kufanya vizuri diba la nyumbani isiwe kigezo cha wao kubweteka na kuamini kuwa wanaweza kupita bila kufanyia marekebisho makosa waliyofanya kwani historia hiyo hiyo inaweza kuwahukumu kama ilivyokuwa hivyo kwa UD Songo waliopata sare na kusonga mbele.

Jwaneng Galaxy pia wamewahi kusitisha ndoto za Simba SC Tanzania dimba la Mkapa kwa kuwatandika bao tatu licha ya ushindi waliopata ugenini.

NI HAYO TU KWA SASA
Tumuachie mwalimu mwenyewe nadhani atakuwa ameona makosa yalio fanywa jana na wachezaji wake hivyo wakiwa kwenye mazoezi watayafanyia kazi.
 
Hiyo CBE na Vital'O ndiyo za kujigamba kushinda ugenini?
Timu hazina hata mashabiki serious halafu mnajinasibu kuwa nyie mnashinda ugenini?
Ao Simba wenye mashabiki serious mbona walikandwa 5 nyumbani wakicheza na Yanga.
Mbona Wana kandwa mfulululizo katika michuano tofaut wakicheza na Yanga!
Mpira ni uwekezaji ukichemsha una kandwa popote bila kujali una mashabiki au auna upon nyumbani au ugenini.
Simba Ali kandwa 3-0 na Raja Casablanca na slogan yake ya kwa Mkapa hatoki mtu, Aliondolewa na UD songo, Galaxy apao apo kwa Mkapa.
 
Je, Simba anaweza kumfunga AA Tripoli kwa Mkapa?

Simba SC Tanzania inarejea Lupasa kwa Mkapa ikiwa inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi michuao ya Klabu Bingwa Afrika huku wengi wakiwa na matumaini kuwa inaweza ikafanya hivyo bila ubishi kutokana na rekodi yake katika uwanja huo.

Timu nyingi kubwa zikija kucheza na Simba SC Tanzania zimekuwa zikishindwa kupata matokeo hapo na hiii ndio jeuri ya mashabiki wengi wa klabu hiyo kuelekea mchezo huo.

Ni wazi kuwa kuna makosa mengi yamefanya na Simba SC Tanzania wakiwa katika mechi yao ugenini hasa kupoteza nafasi walizotengeneza kipindi cha kwanza na muda mwingi kupoteza mipira (kukosa umakini), haya ni makosa ambayo hawapaswi kuyarudia mchezo ujao wakiwa nyumbani

Historia ya wao kufanya vizuri diba la nyumbani isiwe kigezo cha wao kubweteka na kuamini kuwa wanaweza kupita bila kufanyia marekebisho makosa waliyofanya kwani historia hiyo hiyo inaweza kuwahukumu kama ilivyokuwa hivyo kwa UD Songo waliopata sare na kusonga mbele.

Jwaneng Galaxy pia wamewahi kusitisha ndoto za Simba SC Tanzania dimba la Mkapa kwa kuwatandika bao tatu licha ya ushindi waliopata ugenini.

NI HAYO TU KWA SASA
Makoro hawana timu mbaya, ila kocha ni mpya na wana maingizo mengi mapya lakini kwenye uweledi wa kisoka huwa si hoja sana, na mechi ya ugenini wameweza kutoa droo nayo si mbaya na wameweza kuwasoma wapinzani wao, hivyo mechi ya marudio wanaweza wakafanya vizuri, kwani kwenye makaratasi Simba amemuacha nyuma sana mpinzani wake katika rekodi zake za miaka mitano. Mwakarobo in shaa Allah atatoboa hii mechi.
 
Ao Simba wenye mashabiki serious mbona walikandwa 5 nyumbani wakicheza na Yanga.
Mbona Wana kandwa mfulululizo katika michuano tofaut wakicheza na Yanga!
Mpira ni uwekezaji ukichemsha una kandwa popote bila kujali una mashabiki au auna upon nyumbani au ugenini.
Simba Ali kandwa 3-0 na slogan yake ya kwa Mkapa hatoki mtu, Aliondolewa na UD songo, Galaxy apao apo kwa Mkapa.
Ndiyo uelewe maana ya football, draw ya Simba ugenini ni positive results!

Yanga alishafingwa 5 bila na Simba 2 bila kwa hiyo siyo hoja ya msingi.

Shida ya watanzania ushabiki wa kipuuzi tu.

Hivi pressure ya match ya Al Ahly Tripoli dhidi ya Simba utalinganisha na Vital'O au CBE dhidi ya Yanga?
 
achana na msimu huu izi timu ulizotaja zote mbovu.
embu rudi msimu iliopita leta takwimu za Yanga away games, alicheza na timu zipi na matokeo yalikuaje?
KWENYE HATUA YA MAKUNDI HAUJASHINDA MECHI HATA MOJA SARE NA MEDEAMA,UKALA TATU NA BELOUIZDAD,UKATIWA CHUMA MOJA NA AL AHLYY
 
Back
Top Bottom