Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Bw na bibi marejesho
Naomba tu nikujuze kwa kweli ulipofikia sio pazuri
Ingawa baadhi wanawapenda lakini hapana mpunguze makali ktk familia za watu
Wapendwa nimeona niwajuze tu kwenye ndoa kuna mengi sana
Kati ya mambo yanayotesa n marejesho....
Marejesho yamekuwq n shida sana ktk baadhi ya familia
Zipo ndoa zimekufa kabisa kisa tu maneno madhaifu kwenye marejesho
Na wengine wakiona hawana uwezo wa kulipa wanaanza kutoka nje na vijana wadogo kisa tu waume zao wamegoma kulipa marejesho aisee mtakufa kama unajua unafanyahaya acha kabisa
Usikubali mkopo kukuzalisha kuua ndoa yakooo
Wanama wengi hawahusshi wanaumezao ktk ndoa wanapochukua.mikopo
Pale wanapokwama wanataka waume zao washiriki kwenye marejesho
Na wanaposhindwa kurejesha wanaanza vita kunyimana ndoa
Na pale wanapoona mwanaume hajali tendo la ndoa wanachofanya n kujiingiza ushirikina mume alipuke amwone yeye tu aanze kumpa marejesho
Hili peppo lishindwe kwenu ktk jona la bwana yesu alie hai
Peaneni peaneni peaneni
Haijalishi una marejesho mpe mwenzio anapohitaji
Unefunga jion mpe mumeo tendo la ndoa
Nani kakwambia ukifunga mnyimane akili za kijinga kama umeshashugulikiwa nje mwambie nimechokaa ajue plan b simple
Achen kuharibu ndoa zenu kwa mambo ya kijinga
Bwana awabariki
Mwambie mungu leo nadai haki yangu