Asalaam aleykum wakuu. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano nanyi mnapaswa kuitikia Kazi iendelee..
Kumekuwa na kawaida sana siku hizi wanawake kuingia kwenye mikopo ya kausha damu na kushindwa kufanya marejesho pale tarehe za kurejesha zinapokuwa zimewadia. Sasa hali hii inakuwa inafanya wengi kujikuta wakiishia kupelekewa moto ilimradi wapate msaada popote pale.
Wake za watu wamekuwa wahanga wakubwa na wengi wanakopa pasipo wanaume zao kuwa wanafahamu chochote. Na haieleweki hata huwa wanafanyia kitu gani hizo fedha . Nimeshakutana nao wengi mno na nimewatembezea knuckles sana.
Wengine ni masista duu tu ambao wanakopa ili waji-pimp kuendeleza usista duu wao pasipo kuwa na biashara yoyote ya maana hapa mjini, na wao wengi mno wanaishia mikononi mwa mapilato.
Binafsi huwa nawafanyia msaada tu kama ni ndani ya uwezo wangu ila kwa makubaliano maalumu
Wiki kama tatu nyuma kuna bobge moja la sista duu limefugashia vibaya halafu rangi white (sio ya kupaka caro light) lililetwa kwangu na rafiki yake baada ya kutapatapa kote na kukosa msaada. Katika makubaliano yao na wakopeshaji ilikuwa endapo atashindwa kurejesha kwa wakati basi watakuja kuchukua assets ambazo waliandikishana. Sasa baada ya kufeli kote, akawa kaletwa kwangu na rafiki yake ambae mimi ninafahamiana nae.
Kilikuwa ni kiwango kikubwa kiasi fulani, nikaona nifumbe macho, nikaivaa risk, kama nitapoteza anyway. Rafiki yake akawa kama mdhamini. Makubaliano yakawa atapambana ndani ya mwezi au miezi miwili atakuwa karejesha. Nikasema sawa.
Tangu nilipomkopesha akawa ananipigia simu non stop nikawa narespond kawaida sana ili nisiingie kwenye mifumo yake akanizoea na kuona kama nilimpa pesa bure.
Sasa juzi akawa amepata kiasi fulani akawa kanipigia simu akaniletea. Kilikuwa ni pungufu ya nilichompa na sikumuwekea riba. Akawa kanipatia na kuniambia nyingine ataendelea kupiganisha ataleta nikasema sawa. Baada ya kuondoka akawa kanipigia simu akawa ananiambia hali sio nzuri, amepambana sana kupata hiyo pesa na alipofikia anaona hali ni mbaya sana anaweza kwenda zaidi ya muda wa makubaliano kutokana na ugumu wa hali, kwahiyo akaniuliza tunafanyaje ili kumaliza hili?
Nilichofanya nilimuomba tukutane mahala. Akasema sawa, mida ya saa 1 jioni atakuwa kafika. Kiutu uzima tu nikajua kashaelewa what next . Kwakuwa wife hayupo nikaona hapo ndio pa kwenda kumalizia gadhabu. Kweli alikuja na kilichofuata ilikuwa ni kuchakata tu. Nilipeleka megawatts za kutosha kwa huyu.
Ni siku ya tatu mfululizo leo nimekuwa namchakata tu, na nilikuwa ninapewa kila kitu (Elewa ninaposema KILA KITU) at the maximum intensity
Nimeachana nae Kwenye majira ya saa 6 mchana huu na nimeambiwa anytime nikihitaji nipige simu tu maana bila mimi angeadhirika hapa mjini..
.....Mchana mwema......