claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
Wakuu kwema?
kuna Post yangu nilileta hapa kuwa kama una idea yeyote tuje tuifanyie kazi for free bila malipo yeyote
Nimefunga huu mjadala rasmi.. sipokei tena maombi nimepokea request nyingi saana nyingine nimezikubali na nyingingine nimezikataa kuna watu nimefanya nao kazi huku..
Hitimisho:
Siko tayari tena kufanya hivo kama una project yako unataka kutengenezewa Utaweka Hela Mezani.
Msinipigie tena Simu kuniambia kuniletea wazo lako.
Asanteni saana. tuendelee kuchapa code
Software Developer