John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Midude ni mibaguzi hatari, history inajirudia tu, hawa wanasapoti wazungu humu akili zao kama mazombi yaani ipoipo tu, vitu viko wazi ila litatokea jitu litatetea ujinga, usishangae humu yakawa yanatetea ushoga, ukiwauliza mzungu kawasaidia nn watakuambia condom na dawa zaukimwiWamarekani mna Nini kwenye ishu hi shooting ya watu ovyoovyo? Kwa umri wangu huu sijawahi sikia nchi nyingine yenye matukio Kama haya ya shooting ya watu bila sababu ya maana zaidi ya us?
Je Ni kwasababu ya Sera zake katika silaha? Kwamba kila mtu hata kichaa ana bunduki?
Poleni sana wafiwa
Kondom na dawa za ngoma hizo zote zinahusiana na ule mchezo wetu pendwa was wakubwa tu watoto wakishalalaMidude ni mibaguzi hatari, history inajirudia tu, hawa wanasapoti wazungu humu akili zao kama mazombi yaani ipoipo tu, vitu viko wazi ila litatokea jitu litatetea ujinga, usishangae humu yakawa yanatetea ushoga, ukiwauliza mzungu kawasaidia nn watakuambia condom na dawa zaukimwi