Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Sio nchi zote mkuu usipende kudanganya. Nchi zilizotii hadi sasa ni Uturuki na baadhi ya gulf nations. Ila sio zote. China,Urusi,Armenia wote wamekataa kutii hilo agizo. Iraq nao wamekataa japo kuna majadiliano ya kubadili flight destinations.Hii nguvu ya marekani inatisha. Juzi Waziri wa fedha wa Marekani alitangaza kuwa Iranian Airlines itapigwa ban Dunia nzima. Na nchi itakayoruhusu ndege za Iran kutua basi itakabiliwa na vikwazo vya Marekani
Cha kushangaza nchi nyingi zimeipiga ban Air Iran, nchi zote ambazo air Iran ilikuwa inatua zimeipiga ban kutua kwenye nchi izo.
Swali ni kwamba Marekani anaamua chochote hapa duniani na nchi zinatiii,je anaamua Kama nani? Na ingetokea nini kama Kuna nchi zingekaidi amri hii ya Marekani?
Soma pia Waziri wa Hazina wa Marekani Scott Bessent awaonya wanaofanya biashara na Iran
==============
All Iranian commercial airlines could effectively be shut out of the global aviation system from September 23, US Treasury Secretary Scott Bessent has warned, as Washington expands its sanctions campaign against Tehran and targets foreign companies that continue providing services to Iranian carriers.
Bessent said international airports, ground-handling companies and ticketing agents could face US sanctions if they continue to service Iranian airlines. The warning means carriers could struggle to obtain basic services such as fuel, landing assistance and ticket sales outside Iran.
'On September 23rd, all the Iranian airlines will be shut down around the world,' Bessent told CNBC on Monday. 'If they land, you cannot provide them with fuel, you cannot provide them with landing services, you cannot sell them tickets, or you will be knocked out of the dollar system.'
The latest move builds on sanctions announced by the US Treasury earlier this month.
On September 8, the Treasury Department sanctioned 36 targets linked to Iran's aviation sector, including 27 Iranian airlines and foreign companies and intermediaries accused of helping Iran procure aircraft, aviation technology and other services.
The Treasury has also warned foreign companies that provide commercial or financial support to sanctioned Iranian airlines that they could themselves face consequences. Simply put, companies that want continued access to the US financial system may have to choose between servicing Iranian carriers and avoiding US sanctions.
Source: Firstpost & CNBC
Nilikuona una akili kidogo kumbe na wewe hamnazoHuyo jamaa yuko kutimiza unabii na soon, itakuwa wazi.....
Khaa Turkey mbona anazingua naye angedindaSio nchi zote mkuu usipende kudanganya. Nchi zilizotii hadi sasa ni Uturuki na baadhi ya gulf nations. Ila sio zote. China,Urusi,Armenia wote wamekataa kutii hilo agizo. Iraq nao wamekataa japo kuna majadiliano ya kubadili flight destinations.
US Dollar i karibu kuangukaUmejiuliza swali zuri sana , silaha ya jamaa ni dollar
US ipo ICU inakata roho anytime.Kila sehemu kuna wababe bongo wanaitwa mtandao na hao ndio wababe wa Dunia,
Walikuepo enzi na enzi kipindi cha utawala wa roma, ugiriki, misri, uingereza kaitawala hadi marekani na alibeba watu kila kona ya afrika kuwatumikisha huko amerika
Tushukuru huu ubabe wa sasa ila wababe wa zamani walikua hatari
Na marekani ataanguka atakuja mbabe mwingine ......
SidhaniUS Dollar i karibu kuanguka
US Dollar i karibu kuanguka
Hawapokei msaada ila wanatumia dollar ,block ya hapo ni kusitisha wewe kufanya biashara kwa dollar ambayo inatumika duniani.Nchi zote zinazopokea misaada ya hali na mali toka usa must wamsikilize mshua,nchi zote zinazotegemea kuuza bidhaa usa au must be kumtii mshua ila wale wenye maguvu na sehemu mbadala wa msaada wa hali na mali wala hawasikilizi ingawaje nao watateteleka
KabisaHawapokei msaada ila wanatumia dollar ,block ya hapo ni kusitisha wewe kufanya biashara kwa dollar ambayo inatumika duniani.
Kama unazalisha ndani ila utajitenga na dunia .
πππNdiyo maana ya kuwa superpower Nation
Hata sisi mwaka 3000 huko tukiwa superpower, tutawapangia marafiki na maadui Nchi nyingi tu π
Noma sana USANchi zote zinazopokea misaada ya hali na mali toka usa must wamsikilize mshua,nchi zote zinazotegemea kuuza bidhaa usa au must be kumtii mshua ila wale wenye maguvu na sehemu mbadala wa msaada wa hali na mali wala hawasikilizi ingawaje nao watateteleka
Ataangukaje wakati kampiga China gap ya $12T iyo Gap ni uchumi wa German,France and UK combinedKila sehemu kuna wababe bongo wanaitwa mtandao na hao ndio wababe wa Dunia,
Walikuepo enzi na enzi kipindi cha utawala wa roma, ugiriki, misri, uingereza kaitawala hadi marekani na alibeba watu kila kona ya afrika kuwatumikisha huko amerika
Tushukuru huu ubabe wa sasa ila wababe wa zamani walikua hatari
Na marekani ataanguka atakuja mbabe mwingine ......